Loading...
title : MEYA MANISPAA YA DODOMA PROFESA DAVIS MWAMFUPE ATOA RAI KUBORESHA MAONESHO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI MAARUFU NANENANE
link : MEYA MANISPAA YA DODOMA PROFESA DAVIS MWAMFUPE ATOA RAI KUBORESHA MAONESHO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI MAARUFU NANENANE
MEYA MANISPAA YA DODOMA PROFESA DAVIS MWAMFUPE ATOA RAI KUBORESHA MAONESHO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI MAARUFU NANENANE
MwambawahabariMeya wa Manispaa ya Dodoma Mstahiki Profesa Davis Mwamfupe (wa kwanza kulia) akishuhudia mmoja ya banda la maonesho alipotembelea Maonesho ya Nanenane Kanda ya Kati katika Viwanja vya Nzuguni Manispaa ya Dodoma hivi karibuni.
…………………..
NA RAMADHANI JUMA
OFISI YA MKURUGENZI
MANISPAA YA DODOMA
HALMASHAURI za Manispaa na Wilaya katika mikoa ya Kanda ya Kati unayoundwa na mikoa ya Dodoma na Singida kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wanaounga mkono shughuli za kilimo, mifugo na uvuvi wameshauriwa kubuni njia rahisi inayoweza kuwafikishia kwa wakulima na wafugaji elimu inayopatikana kwenye viwanja vya Maonesho ya Wakulima maarufu kama Nanenane.
RaihiyoimetolewanaMeyawaManispaaya Dodoma MstahikiProfesa Davis MwamfupekufuatiamaeneshoyaNanenaneyaliyomalizikahivikaribunikatikamaeneombalimbalinchini, ambapoamesemabadoMaoneshohayohususanKanda ya Kati hayajafanikiwakuwasaidiawakulima, wafugajinawavuviwetukwakiasikinachoridhishanakuwawezeshakubadilishughulizaonakuzifanyakuwanatijainayoridhisha.
AlisemaMaoneshoyaNaneNaneyamekuwepokwamiakamingikatika Kanda mbalimbalinchininayamekuwana mambo yakuvutiasanahususaniTeknolojianambinu bora zauzalishajikatikakilimonamifugoambazozinauwezowakuletatijakubwalakinibadochangamotokubwanikwambamambo yote bora namazuriyanayopatikanakwenyeMaoneshohayajawezakumfikiamkulimakwenyengazizamsingikwamaanayangaziya kaya navijiji.
Alisemakuwa, unawezakutokaumbaliusiozidikilomitambilitukutokakituo (Uwanja) cha Maoneshokilipoutashangaakukutamkulimaanalimakilimo cha kienyejiambachohakinamanufaa.
“TeknolojiainayooneshwakwenyeMaoneshohayabadohaijawezakuwafikiawakulimanawafugajiwetukwenyevijijivyaowanakoendeshashughulizaozakilimonamifugo” alisemaProfesaMwamfupenakuongezakuwa,badoteknolojianaubunifuunaopatikanakwenyeMaoneshohayaunahitajikuwafikiawakulimawachinikabisa.
AlitoawitokwaMamlakazinazohusikakuhakikishaKiwanja cha MaoneshoyaNaneNane Kanda ya Kati kilichopokatika Kata yaNzuguniManispaayaDodoma kinakuwakituo cha ShambaDarasa la kilimomifugonauvuvi cha kudumuiliwataalamuwakilimonamifugowawepokituonihapokipindichote cha mwakawakisimamiashughulizakilimonamifugokituonihaponaHalmashaurizileteWakulimanaWafugajiwaokujifunzanakupatasuluhisho la changamotozinazowakabilikatikashughulizaozauzalishaji.
Hivyo makala MEYA MANISPAA YA DODOMA PROFESA DAVIS MWAMFUPE ATOA RAI KUBORESHA MAONESHO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI MAARUFU NANENANE
yaani makala yote MEYA MANISPAA YA DODOMA PROFESA DAVIS MWAMFUPE ATOA RAI KUBORESHA MAONESHO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI MAARUFU NANENANE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MEYA MANISPAA YA DODOMA PROFESA DAVIS MWAMFUPE ATOA RAI KUBORESHA MAONESHO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI MAARUFU NANENANE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/meya-manispaa-ya-dodoma-profesa-davis.html
0 Response to "MEYA MANISPAA YA DODOMA PROFESA DAVIS MWAMFUPE ATOA RAI KUBORESHA MAONESHO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI MAARUFU NANENANE"
Post a Comment