Loading...
title : MHE. NDUGAI AHUDHURIA HAFLA YA KUAPISHWA RAIS WA IRAN
link : MHE. NDUGAI AHUDHURIA HAFLA YA KUAPISHWA RAIS WA IRAN
MHE. NDUGAI AHUDHURIA HAFLA YA KUAPISHWA RAIS WA IRAN
Mwambawahabari
Mhe. Spika Job Ndugai akizungumza na Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma za Jamii katika Bunge la Iran, Mhe Dkt, Abdolreza Aziz,wakati alipotembelea Bungeni hapo kuhudhuria hafla ya kuapishwa kwa Rais wa 12 wa Iran.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiwasili Tehran kushiriki hafla ya kuapishwa kwa Rais wa 12 wa Iran ambapo kwa mujibu wa Katiba ya nchi hiyo, Rais huapishwa Bungeni na Spika.Mheshimiwa Spika yuko Tehran kwa mwaliko wa Spika wa Bunge la nchi hiyo akiwawakilisha Maspika wa Afrika
Hivyo makala MHE. NDUGAI AHUDHURIA HAFLA YA KUAPISHWA RAIS WA IRAN
yaani makala yote MHE. NDUGAI AHUDHURIA HAFLA YA KUAPISHWA RAIS WA IRAN Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MHE. NDUGAI AHUDHURIA HAFLA YA KUAPISHWA RAIS WA IRAN mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/mhe-ndugai-ahudhuria-hafla-ya-kuapishwa.html
0 Response to "MHE. NDUGAI AHUDHURIA HAFLA YA KUAPISHWA RAIS WA IRAN"
Post a Comment