Loading...
title : MHE. SPIKA JOB NDUGAI AMEMTEMBELEA SPIKA WA BUNGE LA UMOJA WA FALME ZA KIARABU
link : MHE. SPIKA JOB NDUGAI AMEMTEMBELEA SPIKA WA BUNGE LA UMOJA WA FALME ZA KIARABU
MHE. SPIKA JOB NDUGAI AMEMTEMBELEA SPIKA WA BUNGE LA UMOJA WA FALME ZA KIARABU
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai ametembelela Bunge la Umoja wa Falme za Kiarabu lililopo Abu Dhabi na kufanya mazungumzo na Spika wa Bunge hilo, Mhe. Dkt. Amal Al Qubaisi ambapo amewasilisha mapendekezo rasmi ya kuanzisha umoja na urafiki wa kibunge baina ya Bunge la Tanzania na Bunge la Umoja wa Falme za Kiarabu.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Spika wa Bunge la Umoja wa Falme za Kiarabu, Mhe. Dkt. Amal Al Qubaisi baada ya kutembelea Bunge hilo na kufanya nae mazungumzo ambapo pia amewasilisha mapendekezo rasmi ya kuanzisha umoja na urafiki wa kibunge baina ya Bunge la Tanzania na Bunge la Umoja wa Falme za Kiarabu ambayo yamekubaliwa
Mhe. Spika Job Ndugai akikasaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea Bunge la Umoja wa Falme za Kiarabu huku akiangaliwa na Spika wa Bunge hilo, Mh. Dkt. Amal Al Qubaisi (katikati) na Katibu wa Bunge Ndg. Ahmed Shabeeb.
Mhe. Spika Job Ndugai akikabidhi ujumbe wake maalum kwa Spika wa Bunge la Umoja wa Falme za Kiarabu, Mh. Dkt. Amal Al Qubaisi.
Mhe. Spika Job Ndugai akipewa maelezo kutoka kwa Spika wa Bunge la Umoja wa Falme za Kiarabu, Mhr. Dkt. Amal Al Qubaisi wakati alipotembelea Bunge hilo .
Hivyo makala MHE. SPIKA JOB NDUGAI AMEMTEMBELEA SPIKA WA BUNGE LA UMOJA WA FALME ZA KIARABU
yaani makala yote MHE. SPIKA JOB NDUGAI AMEMTEMBELEA SPIKA WA BUNGE LA UMOJA WA FALME ZA KIARABU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MHE. SPIKA JOB NDUGAI AMEMTEMBELEA SPIKA WA BUNGE LA UMOJA WA FALME ZA KIARABU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/mhe-spika-job-ndugai-amemtembelea-spika.html
0 Response to "MHE. SPIKA JOB NDUGAI AMEMTEMBELEA SPIKA WA BUNGE LA UMOJA WA FALME ZA KIARABU"
Post a Comment