Loading...
title : MKURUGENZI KIGAMBONI ATOA MIEZI MITATU KWA WAMILIKI WA SHULE ZISIZO SAJILIWA, KUSAJILI
link : MKURUGENZI KIGAMBONI ATOA MIEZI MITATU KWA WAMILIKI WA SHULE ZISIZO SAJILIWA, KUSAJILI
MKURUGENZI KIGAMBONI ATOA MIEZI MITATU KWA WAMILIKI WA SHULE ZISIZO SAJILIWA, KUSAJILI
Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigamboni Steven Katemba akiendelea kikao na wamiliki wa shule.
Mwambawahabari
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni ndg Stephen Katemba amewapa muda wa miezi mitatu wamiliki wa shule za Awali na Msingi zisizosajiliwa ili waweze kukamilisha taratibu zote zinazotakiwa .
Wamiliki wa shule za msingi na awali wakimsikiliza Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigamboni Steven Katemba hay upo picha ni.
Mkurugenzi aliyasema hayo katika kikao cha pamoja na wamiliki wa shule Binafsi za Awali na Msingi zilizokumbwa na zoezi la kufungia shule zote zisizo na usajili katika Manispaa ya Kigamboni ambapo mpaka kufikia sasa shule 34 zilishafungwa katika kata tatu za Tungi,Kigamboni na Mji Mwema.
Wamiliki wa shule wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigamboni mara baada ya kumaliza kikao.
Hata hivyo mkurugenzi amesema muda huo wa nyongeza hautakuwa kwa wote kwani itategemeana na aina ya shule na hatua iliyofikiwa kwani baadhi ya shule zilikutwa kwenye mazingira ambayo hawezi kuruhusu kuendelea kutumiwa na wanafunzi.
Alisema ndani ya wiki moja ofisi ya Elimu Msingi kwa kushirikiana na Idara ya ustawi wa Jamii watakuwa wamekamilisha zoezi la kutambua kila shule hivyo watapewa taarifa kamili ya utekelezaji kwa kadri ya hatua ya shule husika.
Hivyo makala MKURUGENZI KIGAMBONI ATOA MIEZI MITATU KWA WAMILIKI WA SHULE ZISIZO SAJILIWA, KUSAJILI
yaani makala yote MKURUGENZI KIGAMBONI ATOA MIEZI MITATU KWA WAMILIKI WA SHULE ZISIZO SAJILIWA, KUSAJILI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MKURUGENZI KIGAMBONI ATOA MIEZI MITATU KWA WAMILIKI WA SHULE ZISIZO SAJILIWA, KUSAJILI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/mkurugenzi-kigamboni-atoa-miezi-mitatu.html
0 Response to "MKURUGENZI KIGAMBONI ATOA MIEZI MITATU KWA WAMILIKI WA SHULE ZISIZO SAJILIWA, KUSAJILI"
Post a Comment