Loading...

MKURUGENZI MANISPAA YA DODOMA ATANGAZA HALI YA HATARI KWA WAVAMIZI WA MAENEO , UJENZI HOLELA

Loading...
MKURUGENZI MANISPAA YA DODOMA ATANGAZA HALI YA HATARI KWA WAVAMIZI WA MAENEO , UJENZI HOLELA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKURUGENZI MANISPAA YA DODOMA ATANGAZA HALI YA HATARI KWA WAVAMIZI WA MAENEO , UJENZI HOLELA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MKURUGENZI MANISPAA YA DODOMA ATANGAZA HALI YA HATARI KWA WAVAMIZI WA MAENEO , UJENZI HOLELA
link : MKURUGENZI MANISPAA YA DODOMA ATANGAZA HALI YA HATARI KWA WAVAMIZI WA MAENEO , UJENZI HOLELA

soma pia


MKURUGENZI MANISPAA YA DODOMA ATANGAZA HALI YA HATARI KWA WAVAMIZI WA MAENEO , UJENZI HOLELA

WAMILIKI
Baadhi ya wamiliki wa nyumba za kupanga katika Manispaa ya Dodoma wakimsikiliza Mkurugenzi wa Manispaa ya Dodoma Godwin Kunambi (hayupo pichani) wakati wa mkutano uliowakutanisha wadau hao na Mkurugenzi huyo jana Katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Dodoma. 
MD N HODS
Mkurugenzi wa Manispaa ya Dodoma Godwin Kunambi akizungumza na wamiliki wa nyumba za kupanga Manispaa ya Dodoma (hawapo pichani) wakati wa mkutano uliowakutanisha wadau hao na Mkurugenzi huyo jana Katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Dodoma.
  PICHA NA RAMDHANI JUMA.
………………………..
NA RAMADHANI JUMA
OFISI YA MKURUGENZI

 MKURUGENZI waManispaaya Dodoma Godwin KunambiametoawitokwawakaziwaManispaahiyokuachamaramojauvamiziwamaeneoyawazinayaliyotengwakwaajiliyahifadhizamisituambapowatakaobainikawatachukuliwahatua kali zakisheria.
Aidhaamewatakawanaojenganyumbazamakaziau zabiasharakatikamaeneoyasiyorasminaambayohayakupimwakusitishashughulizaujenzinakubomoamajengohayokwahiyariyaovinginevyoHalmashauriyaManispaaitayabomoa.
AlisemahayojanawakatiakizungumzawawamilikiwanyumbazakupanganaMaofisaWatendajiwa Kata waManispaayaDodoma katikaukumbiwa Dodoma Sekondari,ambapoalisemakujengakatikamaeneoyasiyopimwanikinyumenasherianaManispaaya Dodoma imejipangakusimamiahilokikamilifu.
AlisemaManispaaya Dodoma imejipangakuanzaupimajiwaviwanjakwakasiilikuwawezeshawananchihususanwakaziwaDodoma kujengakwakuzingatiasheriazaMipangoMijinakwambaupimajihuoutaendasambambanautoajiwavibalivyaujenzikatikakipindikisichozisikusabakwammilikiwakiwanja.
Kwaupandewawamilikiwanyumbazakupanga, aliwatakakuungananakuwanaumojanauongoziwaoilikuepukananamadalaliambaobaadhiyaosiowaaminifu, hukuakiwapachangamotoyakujenganyumbazaidizamakazinakuziimarishazilizopohukuakiwajulishakuwa, hivikaribuniwatumishiwaSerikalizaidiya 2,000wanatarajiwakuhamiaMjini Dodoma ikiwaniawamuyapiliyaSerikalikuhamia Dodoma hivyomahitajiyanyumbazakuishiyatakuwamakubwa


Hivyo makala MKURUGENZI MANISPAA YA DODOMA ATANGAZA HALI YA HATARI KWA WAVAMIZI WA MAENEO , UJENZI HOLELA

yaani makala yote MKURUGENZI MANISPAA YA DODOMA ATANGAZA HALI YA HATARI KWA WAVAMIZI WA MAENEO , UJENZI HOLELA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MKURUGENZI MANISPAA YA DODOMA ATANGAZA HALI YA HATARI KWA WAVAMIZI WA MAENEO , UJENZI HOLELA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/mkurugenzi-manispaa-ya-dodoma-atangaza.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MKURUGENZI MANISPAA YA DODOMA ATANGAZA HALI YA HATARI KWA WAVAMIZI WA MAENEO , UJENZI HOLELA"

Post a Comment

Loading...