Loading...

Mkutano wa Mafunzo Kwa Waandishi wa Habari Wafanyika Zanzibar.

Loading...
Mkutano wa Mafunzo Kwa Waandishi wa Habari Wafanyika Zanzibar. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mkutano wa Mafunzo Kwa Waandishi wa Habari Wafanyika Zanzibar., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mkutano wa Mafunzo Kwa Waandishi wa Habari Wafanyika Zanzibar.
link : Mkutano wa Mafunzo Kwa Waandishi wa Habari Wafanyika Zanzibar.

soma pia


Mkutano wa Mafunzo Kwa Waandishi wa Habari Wafanyika Zanzibar.

Afisa dhamana Idara ya Sheria Khamis Jafar Mfaume akijibu maswali mbalimbali yalioulizwa  katika Mkutano wa mafunzo kwa Waandishi wa Habari kuhusiana na Mabadiliko ya sheria ya ukusanyaji wa Kodi kwa kutumia Vifaa vya Eletroniki katika ukumbi wa ZRB Mazizini Wilaya ya Mjini Magharibi B Unguj
Mkuu wa Kitengo cha Elimu kwa walipa kodi Shaban Yahya Ramadhan akitolea ufafanuzi baadi ya maswala yalioulizwa  katika Mkutano wa mafunzo kwa Waandishi wa Habari kuhusiana na Mabadiliko ya sheria ya ukusanyaji wa Kodi kwa kutumia Vifaa vya Eletroniki katika ukumbi wa ZRB Mazizini Wilaya ya Mjini Magharibi B Unguja.
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano wa mafunzo kwa Waandishi wa Habari kuhusiana na Mabadiliko ya sheria ya ukusanyaji wa Kodi kwa kutumia Vifaa vya Eletroniki katika ukumbi wa ZRB Mazizini Wilaya ya Mjini Magharibi B Unguja.
Mkuu wa Kitengo cha mahusiano kwa Umma ZRB Bi Safia Is-haka akitoa hotuba ya ufunguzi katika Mkutano wa mafunzo kwa Waandishi wa Habari kuhusiana na Mabadiliko ya sheria ya ukusanyaji wa Kodi kwa kutumia Vifaa vya Eletroniki katika ukumbi wa ZRB Mazizini Wilaya ya Mjini Magharibi B Unguja.
Mwandishi wa Habari wa Bomba Fm Radio Mwinyi Sadalla akiuliza maswali katika Mkutano wa mafunzo kwa Waandishi wa Habari kuhusiana na Mabadiliko ya sheria ya ukusanyaji wa Kodi kwa kutumia Vifaa vya Eletroniki katika ukumbi wa ZRB Mazizini Wilaya ya Mjini Magharibi B Unguja.
Mwandishi wa Habari wa Habari Leo Khatib Suleiman akiuliza maswali katika Mkutano wa mafunzo kwa Waandishi wa Habari kuhusiana na Mabadiliko ya sheria ya ukusanyaji wa Kodi kwa kutumia Vifaa vya Eletroniki katika ukumbi wa ZRB Mazizini Wilaya ya Mjini Magharibi B Unguja.


Hivyo makala Mkutano wa Mafunzo Kwa Waandishi wa Habari Wafanyika Zanzibar.

yaani makala yote Mkutano wa Mafunzo Kwa Waandishi wa Habari Wafanyika Zanzibar. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mkutano wa Mafunzo Kwa Waandishi wa Habari Wafanyika Zanzibar. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/mkutano-wa-mafunzo-kwa-waandishi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mkutano wa Mafunzo Kwa Waandishi wa Habari Wafanyika Zanzibar."

Post a Comment

Loading...