Loading...

Msipotumia Fursa Zilizopo Tanga Wageni Watazitumia-Dkt. Mwakyembe

Loading...
Msipotumia Fursa Zilizopo Tanga Wageni Watazitumia-Dkt. Mwakyembe - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Msipotumia Fursa Zilizopo Tanga Wageni Watazitumia-Dkt. Mwakyembe, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Msipotumia Fursa Zilizopo Tanga Wageni Watazitumia-Dkt. Mwakyembe
link : Msipotumia Fursa Zilizopo Tanga Wageni Watazitumia-Dkt. Mwakyembe

soma pia


Msipotumia Fursa Zilizopo Tanga Wageni Watazitumia-Dkt. Mwakyembe

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezi, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe amewataka wakazi wa na wafanyabiashara wa Mkoa wa Tanga kuanza mapema kuzitumia fursa zilizopo katika mkoa huo kabla ya wageni hawajazitu,ia na kuwaacha wenyeji kuwa watazamaji.

Waziri Mwakyembe ametoa rai hiyo leo Jijini Tanga wakati akifungua kongamano la siku moja la Fursa za Biashara ambalo lina lengo la kufungua fursa za biashara zilizopo katika mkoa na hasa katika kipindi hiki ambacho ujenzi wa bomba la mafuta kutoka Hoima nchini Uganda hadi Chongoleani jijini Tanga unatarajiwa kuanza.

“Tusipojipanga leo na kuzitumia vizuri hizi fursa nyingi zilizopo basi tujue fursa hizi zitatumiwa na wageni ili hali Watanzania tunaauwezo”, alisisitiza Waziri Mwakyembe.

Alieleza kuwa kama kuna changamoto zozote zinazowakabili watu wa Tanga na Watanzania kwa ujumla katika kutumia fursa zilizopo basi ni vema Serikali ya Mkoa, wafanyabishara na wawekezaji waliopo mkoa wa Tanga wakazitafutia ufumbuzi changamoto hizo ili zigeuke kuwa fursa ili Watanzania wazichangamikie.

Aidha Mwakyembe amewasisitiza Watanzania kuwekeza katika biashara ya huduma na viwanda vya uzalishaji bidhaana bidha ambapo vitakuwa vikihudumia ujenzi wa miradi mbalimbali hususani bomba la mafuta kutoka Hoima-Uganda hadi Chongoleani-Tanga, Tanzania.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akiongeza wakati wa ufunguzi wa Jukwaa la Fursa za Kibiashsra lililofanyika leo Jijini Tanga. Jukwaa hilo lilijadili fursa mbalimbali za kibiashara zinazopatikana Mkoani Tanga.
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martin Shigela akitoa neon la utangulizi wakati wa ufunguzi wa ufunguzi wa Jukwaa la Fursa za Kibiashsra lililofanyika leo Jijini Tanga. Jukwaa hilo lilijadili fursa mbalimbali za kibiashara zinazopatikana Mkoani Tanga
Mhariri Mtendaji wa Tanzania Standard Newspapers Dkt. Jim Yonaz akielezea kuhusu malengo ya kongamano la Jukwaa la Fursa za Kibiashsra lililofanyika leo Jijini Tanga. Jukwaa hilo lilijadili fursa mbalimbali za kibiashara zinazopatikana Mkoani Tanga.




Hivyo makala Msipotumia Fursa Zilizopo Tanga Wageni Watazitumia-Dkt. Mwakyembe

yaani makala yote Msipotumia Fursa Zilizopo Tanga Wageni Watazitumia-Dkt. Mwakyembe Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Msipotumia Fursa Zilizopo Tanga Wageni Watazitumia-Dkt. Mwakyembe mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/msipotumia-fursa-zilizopo-tanga-wageni.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Msipotumia Fursa Zilizopo Tanga Wageni Watazitumia-Dkt. Mwakyembe"

Post a Comment

Loading...