Loading...
Loading...
- Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa , tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title :
link :

soma pia

Mwambawahabari

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akivishwa skafu baada ya kuwasili kwenye Ofisi ya CCM mkoa wa Tanga, leo. Kinana amefika mkoani Tanga kwa ajili ya kushiriki hafla ya uzinduzi wa Ujenzi wa Mradi wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta kutoka nchini Uganda.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipokea saluti ya Green Guard wa CCM, baada ya
kuwasili kwenye Ofisi ya CCM mkoa wa Tanga, leo. Kinana amefika mkoani
Tanga kwa ajili ya kushiriki hafla ya uzinduzi wa Ujenzi wa Mradi wa
Ujenzi wa Bomba la Mafuta kutoka nchini Uganda
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimiana na baadhi ya viongozi baada ya
kuwasili kwenye Ofisi ya CCM mkoa wa Tanga, leo. Kinana amefika mkoani
Tanga kwa ajili ya kushiriki hafla ya uzinduzi wa Ujenzi wa Mradi wa
Ujenzi wa Bomba la Mafuta kutoka nchini Uganda
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipata burudani ya ngoma baada ya
kuwasili kwenye Ofisi ya CCM mkoa wa Tanga, leo. Kinana amefika mkoani
Tanga kwa ajili ya kushiriki hafla ya uzinduzi wa Ujenzi wa Mradi wa
Ujenzi wa Bomba la Mafuta kutoka nchini Uganda
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitazama ngoma ya kinamama baada ya
kuwasili kwenye Ofisi ya CCM mkoa wa Tanga, leo. Kinana amefika mkoani
Tanga kwa ajili ya kushiriki hafla ya uzinduzi wa Ujenzi wa Mradi wa
Ujenzi wa Bomba la Mafuta kutoka nchini Uganda
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimia baadhi ya wana CCM baada ya
kuwasili kwenye Ofisi ya CCM mkoa wa Tanga, leo. Kinana amefika mkoani
Tanga kwa ajili ya kushiriki hafla ya uzinduzi wa Ujenzi wa Mradi wa
Ujenzi wa Bomba la Mafuta kutoka nchini Uganda
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimia baadhi ya viongozi baada ya
kuwasili kwenye Ofisi ya CCM mkoa wa Tanga, leo. Kinana amefika mkoani
Tanga kwa ajili ya kushiriki hafla ya uzinduzi wa Ujenzi wa Mradi wa
Ujenzi wa Bomba la Mafuta kutoka nchini Uganda
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisaini kitabu cha wageni baada ya
kuwasili kwenye Ofisi ya CCM mkoa wa Tanga, leo. Kinana amefika mkoani
Tanga kwa ajili ya kushiriki hafla ya uzinduzi wa Ujenzi wa Mradi wa
Ujenzi wa Bomba la Mafuta kutoka nchini Uganda
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na viongozi wa CCM, baada ya
kuwasili kwenye Ofisi ya CCM mkoa wa Tanga, leo. Kinana amefika mkoani
Tanga kwa ajili ya kushiriki hafla ya uzinduzi wa Ujenzi wa Mradi wa
Ujenzi wa Bomba la Mafuta kutoka nchini Uganda
Baadhi ya Vijana wa Umoja wa Vijana wa CCM waliompokea Kinana Ofisi ya CCM mkoa wa Tanga
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisoma malalamiko aliyoletewa na Mkazi wa mjini Tanga, ambaye analalamika kuwa ametaakiwa kuvunjiwa anyumba yake kinyume na utaratibu, Kinana alimwelekeza kwenda kuonana na Mkuu wa Wilaya ya Tanga amtatulie suala hilo
Mkazi huyo akiangua kilio mbele ya Kinana
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiagana na baadhi ya wana CCM wakati akiondoka kwenye Ofisi ya CCM mkoa wa Tanga, leo. Kinana amefika mkoani
Tanga kwa ajili ya kushiriki hafla ya uzinduzi wa Ujenzi wa Mradi wa
Ujenzi wa Bomba la Mafuta kutoka nchini Uganda.

PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

Hivyo makala

yaani makala yote Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/mwambawahabari-katibu-mkuu-wa-ccm.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to " "

Post a Comment

Loading...