Loading...

NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MAJI AKAGUA MAENDELEO YA AWAMU YA TATU YA UPANUZI WA MTAMBO WA CHALIWASA

Loading...
NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MAJI AKAGUA MAENDELEO YA AWAMU YA TATU YA UPANUZI WA MTAMBO WA CHALIWASA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MAJI AKAGUA MAENDELEO YA AWAMU YA TATU YA UPANUZI WA MTAMBO WA CHALIWASA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MAJI AKAGUA MAENDELEO YA AWAMU YA TATU YA UPANUZI WA MTAMBO WA CHALIWASA
link : NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MAJI AKAGUA MAENDELEO YA AWAMU YA TATU YA UPANUZI WA MTAMBO WA CHALIWASA

soma pia


NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MAJI AKAGUA MAENDELEO YA AWAMU YA TATU YA UPANUZI WA MTAMBO WA CHALIWASA

 Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji Mhandisi Emmanuel Kalobelo (wa pili kulia) alifanya ziara ya kukagua maendeleo ya Awamu ya tatu ya kazi za upanuzi wa mtambo na mfumo wa CHALIWASA ambao chanzo chake ni mto Wami. 

Katika ziara hiyo Mhandisi Kalobelo alitembelea kazi mbalimbali za mradi ikiwemo shughuli za upanuzi wa chanzo, ujenzi wa matenki, ulazaji mabomba pamoja na majengo ya ofisi. 

Mradi huu unaojengwa na Wizara ya Maji na Umwagiliaji  kupitia na DAWASA unahusisha ujenzi wa Matenki 19, ulazajiwa mabomba ya ukubwa mbalimbali kwa kilometa 1, 203, ujenzi wa vizimba 351 vya kuchota maji pamoja na upanuzi wa mtambo wa kusafisha maji wa CHALINZE. Lengo ni kuongeza uzalishaji kufikia mita za ujazo 900 kwa siku kutoka mita za ujazo 500.

Kazi hii itakapokamilika, wakazi waliopo maeneo ya Manga hadi Tengwe katika Mkoa wa Tanga; mji na vitongoji  vya wa Chalinze na baadhi ya maeneo ya Bagamoyo na Kibaha katika mkoa wa Pwani watafaidika.
 Mradi pia utanufaisha baadhi ya maeneo ha Mkoa wa Morogoro ikiwa ni pamoja na  maeneo ya Kizuka A na B, Ngerengere, Kinoko A and B, Tukamisasa, Lulenge, Visakazi hadi Bwawani  pamoja na Sangasanga A na B, Hadi utakapokamilika, mradi utagharimu dola za Marakani 41,362,023.43 ambazo ni mkopo wa masharti nafuu kutoka Serikali ya India kupitia Benki ya EXIM ya India. Mradi utakamilika mwaka huu.


Hivyo makala NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MAJI AKAGUA MAENDELEO YA AWAMU YA TATU YA UPANUZI WA MTAMBO WA CHALIWASA

yaani makala yote NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MAJI AKAGUA MAENDELEO YA AWAMU YA TATU YA UPANUZI WA MTAMBO WA CHALIWASA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MAJI AKAGUA MAENDELEO YA AWAMU YA TATU YA UPANUZI WA MTAMBO WA CHALIWASA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/naibu-katibu-mkuu-wizara-ya-maji-akagua.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MAJI AKAGUA MAENDELEO YA AWAMU YA TATU YA UPANUZI WA MTAMBO WA CHALIWASA"

Post a Comment

Loading...