Loading...

NAIBU WAZIRI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA KARAKANA YA TEMESA MT. DEPOT

Loading...
NAIBU WAZIRI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA KARAKANA YA TEMESA MT. DEPOT - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NAIBU WAZIRI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA KARAKANA YA TEMESA MT. DEPOT, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NAIBU WAZIRI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA KARAKANA YA TEMESA MT. DEPOT
link : NAIBU WAZIRI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA KARAKANA YA TEMESA MT. DEPOT

soma pia


NAIBU WAZIRI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA KARAKANA YA TEMESA MT. DEPOT


Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe.  Mhandisi Hamad Masauni (wa pili kushoto) akimsikiliza meneja wa Karakana ya MT. Depot, Mhandisi Julius Humbe alipo kuwa akifafanua jambo, kuhusu taratibu za matengenezo ya magari ya serikali. Mhandisi Masauni alifanya ziara ya siku moja katika karakana hiyo mapema leo, ili kujionea jinsi matengenezo ya magari ya serikali yanavyofanyika.
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe.  Mhandisi Hamad Masauni (katikati) akipata maelekezo ya jinsi kifaa cha kieletroniki cha kubaini magonjwa ya magari kinavyofanya kazi kutoka kwa Fundi Yakubu Kibingo wa karakana ya MT. Depot. Kushoto kwa Waziri ni Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Dkt. Mussa Mgwatu. Mhandisi Masauni alifanya ziara ya siku moja katika karakana hiyo mapema leo, ili kujionea jinsi matengenezo ya magari ya serikali yanavyofanyika.
 Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe.  Mhandisi Hamad Masauni (katikati) akifafanua jambo kwa watendaji wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) alipotembelea karakana ya MT. Depot mapema leo, ili kujionea matengenezo ya magari ya Serikali yanavyofanyika katika karakana hiyo. Kushoto kwa Waziri ni Mtendaji Mkuu wa TEMESA Dkt. Mussa Mgwatu na kulia kwake ni Mkurugenzi wa zalishaji na matengenezo Mhandisi Sylvester Simfukwe.
Mafundi wa Karakana ya MT. Depot wakifanya matengenezo kwenye gari, wakati wa ziara ya Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe.  Mhandisi Hamad Masauni, aliyetembelea karakana hiyo mapema leo ili kujionea jinsi magari ya serikali yanavyotengenezwa. Picha na TEMESA


Hivyo makala NAIBU WAZIRI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA KARAKANA YA TEMESA MT. DEPOT

yaani makala yote NAIBU WAZIRI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA KARAKANA YA TEMESA MT. DEPOT Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA KARAKANA YA TEMESA MT. DEPOT mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/naibu-waziri-wa-wizara-ya-mambo-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NAIBU WAZIRI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA KARAKANA YA TEMESA MT. DEPOT"

Post a Comment

Loading...