Loading...

NMB yazungumza na mashirika ya maendeleo kimataifa na mabalozi kukuza ushirikiano

Loading...
NMB yazungumza na mashirika ya maendeleo kimataifa na mabalozi kukuza ushirikiano - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NMB yazungumza na mashirika ya maendeleo kimataifa na mabalozi kukuza ushirikiano, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NMB yazungumza na mashirika ya maendeleo kimataifa na mabalozi kukuza ushirikiano
link : NMB yazungumza na mashirika ya maendeleo kimataifa na mabalozi kukuza ushirikiano

soma pia


NMB yazungumza na mashirika ya maendeleo kimataifa na mabalozi kukuza ushirikiano

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Plc, Ineke Bussemaker (kulia) akiwasilisha mada katika mkutano ulioandaliwa na benki hiyo na kushirikisha mabalozi, wawakilishi wa taasisi za maendeleo kimataifa, wanadiplomasia pamoja na asasi za kiraia nchini. Wajumbe hao walikutana Makao Makuu ya Ofisi za Benki ya NMB jana jijini Dar es Salaam lengo likiwa ni kujenga mtandao na ushirikiano. Katika mada yake kwa washiriki wa mkutano huo, Bi. Bussemaker alielezea benki ya NMB ilivyo na fursa mbalimbali kwa makundi tofauti na hasa inavyowasaidia wafanyabiashara kupitia bidhaa yake ya Trade Finance. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Plc, Ineke Bussemaker (kushoto) akimkaribisha mmoja wa washiriki katika mkutano ulioandaliwa na benki hiyo na kushirikisha mabalozi, wawakilishi wa taasisi za maendeleo kimataifa, wanadiplomasia pamoja na asasi za kiraia nchini. Sehemu ya washiriki katika mkutano ulioandaliwa na Benki ya NMB na kushirikisha mabalozi, wawakilishi wa taasisi za maendeleo kimataifa, wanadiplomasia pamoja na asasi za kiraia nchini. Wajumbe hao walikutana Makao Makuu ya Ofisi za Benki ya NMB jana jijini Dar es Salaam lengo likiwa ni kujenga mtandao na ushirikiano. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Plc, Ineke Bussemaker (kulia) akiwasilisha mada katika mkutano ulioandaliwa na benki hiyo na kushirikisha mabalozi, wawakilishi wa taasisi za maendeleo kimataifa, wanadiplomasia pamoja na asasi za kiraia nchini. Wajumbe hao walikutana Makao Makuu ya Ofisi za Benki ya NMB jana jijini Dar es Salaam lengo likiwa ni kujenga mtandao na ushirikiano. Katika mada yake kwa washiriki wa mkutano huo, Bi. Bussemaker alielezea benki ya NMB ilivyo na fursa mbalimbali kwa makundi tofauti na hasa inavyowasaidia wafanyabiashara kupitia bidhaa yake ya Trade Finance. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Plc, Ineke Bussemaker (kulia) akiwasilisha mada katika mkutano ulioandaliwa na benki hiyo na kushirikisha mabalozi, wawakilishi wa taasisi za maendeleo kimataifa, wanadiplomasia pamoja na asasi za kiraia nchini. Wajumbe hao walikutana Makao Makuu ya Ofisi za Benki ya NMB jana jijini Dar es Salaam lengo likiwa ni kujenga mtandao na ushirikiano. Katika mada yake kwa washiriki wa mkutano huo, Bi. Bussemaker alielezea benki ya NMB ilivyo na fursa mbalimbali kwa makundi tofauti na hasa inavyowasaidia wafanyabiashara kupitia bidhaa yake ya Trade Finance.


Hivyo makala NMB yazungumza na mashirika ya maendeleo kimataifa na mabalozi kukuza ushirikiano

yaani makala yote NMB yazungumza na mashirika ya maendeleo kimataifa na mabalozi kukuza ushirikiano Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NMB yazungumza na mashirika ya maendeleo kimataifa na mabalozi kukuza ushirikiano mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/nmb-yazungumza-na-mashirika-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NMB yazungumza na mashirika ya maendeleo kimataifa na mabalozi kukuza ushirikiano"

Post a Comment

Loading...