Loading...
title : RAIS DKT MAGUFULI ATEMBELEA ENEO NA FERI MAPEMA LEO JIJINI DAR
link : RAIS DKT MAGUFULI ATEMBELEA ENEO NA FERI MAPEMA LEO JIJINI DAR
RAIS DKT MAGUFULI ATEMBELEA ENEO NA FERI MAPEMA LEO JIJINI DAR
Rais Dkt John Pombe Magufuli akisalimia na baadhi ya vijana aliokutana nao wakati akisubiri kivuko mapema leo asubuhi alipotembelea eneo la Feri, na kuvuka kwa kutumia kivuko cha Mv Kigamboni kwenda Kigamboni.
Rais Dkt John Pombe Magufuli akimsikiliza mmoja wa walemavu mapema leo asubuhi alipotembelea eneo la Feri, na kuvuka kwa kutumia kivuko cha Mv Kigamboni kwenda Kigamboni.
Rais Dkt John Pombe Magufuli ( wa pili kulia) akiwa na baadhi ya Wananchi wengine walipokuwa wakisubiri kivuko mapema leo asubuhi,alipotembelea eneo la Feri, na kuvuka kwa kutumia kivuko cha Mv Kigamboni kwenda Kigamboni
Hivyo makala RAIS DKT MAGUFULI ATEMBELEA ENEO NA FERI MAPEMA LEO JIJINI DAR
yaani makala yote RAIS DKT MAGUFULI ATEMBELEA ENEO NA FERI MAPEMA LEO JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT MAGUFULI ATEMBELEA ENEO NA FERI MAPEMA LEO JIJINI DAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/rais-dkt-magufuli-atembelea-eneo-na.html
0 Response to "RAIS DKT MAGUFULI ATEMBELEA ENEO NA FERI MAPEMA LEO JIJINI DAR"
Post a Comment