Loading...

RC MAKONDA ALITAKAJESHI LA POLISI KANDA MAALUMU YA DAR ES SALAAM KUSITISHWA ZOEZI LA UKAMATAJI MAGARI YENYE VIOO YA TINTED

Loading...
RC MAKONDA ALITAKAJESHI LA POLISI KANDA MAALUMU YA DAR ES SALAAM KUSITISHWA ZOEZI LA UKAMATAJI MAGARI YENYE VIOO YA TINTED - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RC MAKONDA ALITAKAJESHI LA POLISI KANDA MAALUMU YA DAR ES SALAAM KUSITISHWA ZOEZI LA UKAMATAJI MAGARI YENYE VIOO YA TINTED, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RC MAKONDA ALITAKAJESHI LA POLISI KANDA MAALUMU YA DAR ES SALAAM KUSITISHWA ZOEZI LA UKAMATAJI MAGARI YENYE VIOO YA TINTED
link : RC MAKONDA ALITAKAJESHI LA POLISI KANDA MAALUMU YA DAR ES SALAAM KUSITISHWA ZOEZI LA UKAMATAJI MAGARI YENYE VIOO YA TINTED

soma pia


RC MAKONDA ALITAKAJESHI LA POLISI KANDA MAALUMU YA DAR ES SALAAM KUSITISHWA ZOEZI LA UKAMATAJI MAGARI YENYE VIOO YA TINTED


Mwambawahabari

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Paul Makonda leo ameliagiza Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam kusitisha zoezi la ukamataji wa Magari yenye Vioo vya Tinted hadi hapo atakapokaa kikao na Jeshi hilo kuangalia hoja za msingi dhidi ya zoezi hilo.

Miongoni mwa sababu za kuagiza kusitishwa kwa zoezi hilo kwanza ni uwepo wa watu walionunua Magari yakiwa tayari yana Vioo vya Tinted hivyo zoezi hilo litawalazimu wabadili Vioo vyote.

Pili wapo watu walioweka Vioo vya Tinted kama sehemu ya kujilinda na wakati mwingine kutumia Vioo hivyo kama sehemu ya ulinzi wa mali zao zilizopo ndani ya Gari zisionekane na wahalifu.

Tatu Mkoa wa Dar es salaam unapokea wageni wengi kutoka Mikoani hivyo zuio hilo litawafanya wageni wanaokuja na magari yao kujikuta wanayaacha mipakani mwa mikoa ilikuepuka usumbufu kutokana na zuio hilo kulenga magari ya mkoa wa Dar es salaam pekee.

Nne vijana wengi wa Mkoa wa Dar es salaam wanategemea kazi ya kuweka vioo vya Tinted kama sehemu ya ajira na kuendesha maisha yao hivyo zuio hilo litafanya waishi katika maisha bila ajira kitendo ambacho mkuu wa mkoa hawezi kukubali.

Tano anaamini Jeshi la Polisi haliwezi kushindwa kuwadhibiti watu wachache wanaotumia Vioo vya Tinted kama kichaka cha kufanya uhalifu hivyo ameliagiza jeshi hilo kuendelea kuwadhibiti wahalifu.

“Nafahamu wapo watu wamenunua magari yakiwa na Tinted, wengine wameweka Tinted kama sehemu ya kulinda mali zao zisionekane na wakati mwingine Kinamama huweka Tinted kama sehemu ya kujilinda na wale wezi wa magari ambao wakiona dereva ni mwanamke wanamfuatilia na kumpora Gari, pia tangazo hili limehusu magari ya mkoa wa Dar es salaam pekee hivyo watu wanaokuja kutoka mikoani na magari yao watapata shida na kujikuta wanaacha magari yao mipakani, sasa naagiza kusitishwa kwa zoezi hili mpaka nitakapoona hoja za kutosha za kujiridhisha dhidi ya zoezi hili” Alisema Makonda.



Hivyo makala RC MAKONDA ALITAKAJESHI LA POLISI KANDA MAALUMU YA DAR ES SALAAM KUSITISHWA ZOEZI LA UKAMATAJI MAGARI YENYE VIOO YA TINTED

yaani makala yote RC MAKONDA ALITAKAJESHI LA POLISI KANDA MAALUMU YA DAR ES SALAAM KUSITISHWA ZOEZI LA UKAMATAJI MAGARI YENYE VIOO YA TINTED Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RC MAKONDA ALITAKAJESHI LA POLISI KANDA MAALUMU YA DAR ES SALAAM KUSITISHWA ZOEZI LA UKAMATAJI MAGARI YENYE VIOO YA TINTED mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/rc-makonda-alitakajeshi-la-polisi-kanda.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RC MAKONDA ALITAKAJESHI LA POLISI KANDA MAALUMU YA DAR ES SALAAM KUSITISHWA ZOEZI LA UKAMATAJI MAGARI YENYE VIOO YA TINTED"

Post a Comment

Loading...