Loading...

RC TABORA –LIMINE ALIZETI KWA WINGI WAWEKEZAJI WALETE VIWANDA HAPA.

Loading...
RC TABORA –LIMINE ALIZETI KWA WINGI WAWEKEZAJI WALETE VIWANDA HAPA. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RC TABORA –LIMINE ALIZETI KWA WINGI WAWEKEZAJI WALETE VIWANDA HAPA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RC TABORA –LIMINE ALIZETI KWA WINGI WAWEKEZAJI WALETE VIWANDA HAPA.
link : RC TABORA –LIMINE ALIZETI KWA WINGI WAWEKEZAJI WALETE VIWANDA HAPA.

soma pia


RC TABORA –LIMINE ALIZETI KWA WINGI WAWEKEZAJI WALETE VIWANDA HAPA.

Na Tiganya Vincent-RS-TABORA

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Bw. Aggrey Mwanri ameagiza kuanzia msimu ujao wa kilimo kila mtu mwenye uwezo wa kufanyakazi ni lazima alime heka mbili za alizeti kwa ajili ya kuvutia wawekezaji kujenga Viwanda vya kusindika na kuzalisha mafuta hayo kuanza ujenzi mkoani humo.

Bw. Mwanri alitoa kauli hiyo jana wakati wa ufunguzi wa maonesho ya nanenane kwa Kanda ya mikoa ya Magharibi yaliyofanyika mkoani Tabora.

Alisema zao la alizeti katika mkoani Tabora linastawi sana na ikiwa wakazi wake watalima kwa wingi Kampuni mbalimbali zitajitokeza kwa wingi kuja kujenga viwanda vya kuzalisha mafuta hayo.

Bw.Mwanri alisisitiza kuwa wawekezaji wengi wamekuwa wanashindwa kuja kujenga viwanda vya usindikaji wa mafuta hayo kwa sababu siku za nyuma zao hilo limekuwa halitiliwi mkazo na kufanya uzalishaji kuwa wa chini sana , lakini hivi sasa hiyo itakuwa ajenda ya Mkoa kama mkakati mojawapo wa kuwavutia watu kuja kujenga viwanda.

“Ndugu zangu Wakuu wote wa Wilaya na Wakurugenzi kuanzia sasa akili yetu na agenda yetu kubwa iko katika kuhakikisha kuwa kila mkazi wa Tabora analima heka mbili za alizeti kuanzia msimu ujao wa kilimo ili tuwe na malighafi nyingi kwa ajili ya kulisha viwanda vitakavyoanzishwa kwa mwaka mzima” alisema Mkuu huyo Mkoa.

HABARI ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala RC TABORA –LIMINE ALIZETI KWA WINGI WAWEKEZAJI WALETE VIWANDA HAPA.

yaani makala yote RC TABORA –LIMINE ALIZETI KWA WINGI WAWEKEZAJI WALETE VIWANDA HAPA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RC TABORA –LIMINE ALIZETI KWA WINGI WAWEKEZAJI WALETE VIWANDA HAPA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/rc-tabora-limine-alizeti-kwa-wingi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RC TABORA –LIMINE ALIZETI KWA WINGI WAWEKEZAJI WALETE VIWANDA HAPA."

Post a Comment

Loading...