Loading...

Semina ya Mafunzo Kazi Kwa Vijana Yafanyika Zanzibar.

Loading...
Semina ya Mafunzo Kazi Kwa Vijana Yafanyika Zanzibar. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Semina ya Mafunzo Kazi Kwa Vijana Yafanyika Zanzibar., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Semina ya Mafunzo Kazi Kwa Vijana Yafanyika Zanzibar.
link : Semina ya Mafunzo Kazi Kwa Vijana Yafanyika Zanzibar.

soma pia


Semina ya Mafunzo Kazi Kwa Vijana Yafanyika Zanzibar.

Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zubeir Ali Maulid akizungumza wakati wa Ufunguzi Mafunzo ya Semina kuhusiana na kazi kwa Vijana iliofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni Wilaya ya Magharibi B Unguja.
Mkurugenzi Ajira Ameir Ali Ameir akisoma ratiba ya Ufunguzi wa Semina kuhusiana na Mafunzo kazi kwa Vijana iliofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni Wilaya ya Magharibi B Unguja.
Mkurugenzi wa ILO Bi.Mary Kawar akitoa hotuba katika Ufunguzi wa Semina kuhusiana na Mafunzo kazi kwa Vijana iliofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni Wilaya ya Magharibi B Unguja.
Mtaalamu muelekezi kutoka ILO Ashwani Aggarwal akitoa mafunzo elekezi katika Semina kuhusiana na Mafunzo kazi kwa Vijana iliofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni Wilaya ya Magharibi B Unguja.
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuber Ali Maulid katikati akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na Wawakilishi waliohudhuria katika Semina kuhusiana na Mafunzo kazi kwa Vijana iliofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni Wilaya ya Magharibi B Unguja.
Picha na Yussuf Simai - Maelezo Zanzibar )


Hivyo makala Semina ya Mafunzo Kazi Kwa Vijana Yafanyika Zanzibar.

yaani makala yote Semina ya Mafunzo Kazi Kwa Vijana Yafanyika Zanzibar. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Semina ya Mafunzo Kazi Kwa Vijana Yafanyika Zanzibar. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/semina-ya-mafunzo-kazi-kwa-vijana.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Semina ya Mafunzo Kazi Kwa Vijana Yafanyika Zanzibar."

Post a Comment

Loading...