Loading...

SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC), KAMPUNI YA NDEGE TANZANIA (ATCL) ZATILIANA SAINI MKATABA WA MAKUBALINAO YA USHIRIKIANO WA KUTOA HUDUMA

Loading...
SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC), KAMPUNI YA NDEGE TANZANIA (ATCL) ZATILIANA SAINI MKATABA WA MAKUBALINAO YA USHIRIKIANO WA KUTOA HUDUMA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC), KAMPUNI YA NDEGE TANZANIA (ATCL) ZATILIANA SAINI MKATABA WA MAKUBALINAO YA USHIRIKIANO WA KUTOA HUDUMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC), KAMPUNI YA NDEGE TANZANIA (ATCL) ZATILIANA SAINI MKATABA WA MAKUBALINAO YA USHIRIKIANO WA KUTOA HUDUMA
link : SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC), KAMPUNI YA NDEGE TANZANIA (ATCL) ZATILIANA SAINI MKATABA WA MAKUBALINAO YA USHIRIKIANO WA KUTOA HUDUMA

soma pia


SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC), KAMPUNI YA NDEGE TANZANIA (ATCL) ZATILIANA SAINI MKATABA WA MAKUBALINAO YA USHIRIKIANO WA KUTOA HUDUMA

Mkurugenzi Mwendeshaji na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), Ladislaus Matindi, akizungumza na waandishi wa habari, wakati akielezea kuhusu makubaliano ya ushirikiano ya kutoa huduma na Shirika la Posta Tanzania (TPC), jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Postamasta Mkuu na Ofisa Mtendaji Mkuu wa TPC, Deo Kwiyukwa. Makubaliano kati ya taasisi hizo, ni katika nyanja za 1. Usafirishaji wafanyakazi, wanaposafiri kikazi, 2.Usafirishaji wa mizigo, vifurushi na barua kupitia ndege za ATCL, 3. Kubadilishana uzoefu wa namna ya kuhudumia wateja, 4. Ushirikiano wa matumizi ya majengo ya Ofisi na 5. Kushirikishana kwenye tovuti kuhusu mambo yote ya Masoko.
Postamasta Mkuu na Ofisa Mtendaji Mkuu wa TPC, Deo Kwiyukwa (kulia) na Mkurugenzi Mwendeshaji na Ofisa Mtendaji Mkuu wa ATCL, Ladislaus Matindi (kushoto), wakitia saini mkataba huo wa ushirikiano kati ya taasisi zao hizo. Kulia anayemsaidia Postamasta Mkuu ni Mwanasheria wa TPC, Bi. Zuhura Pinde.
Postamasta Mkuu na Ofisa Mtendaji Mkuu wa TPC, Deo Kwiyukwa (kushoto) na Mkurugenzi Mwendeshaji na Ofisa Mtendaji Mkuu wa ATCL, Ladislaus Matindi (kulia), wakiuonesha kwa waandishi wa habari mkataba huo, mara baada ya kuusaini jijini Dar es Salaam leo.   
Postamasta Mkuu na Ofisa Mtendaji Mkuu wa TPC, Deo Kwiyukwa (kulia) akimtambulisha baadhi ya watendaji wa shirika hilo, Mkurugenzi Mwendeshaji na Ofisa Mtendaji Mkuu wa ATCL, Ladislaus Matindi (wa pili kulia), mara baada ya kumalizika shughuli hiyo, Dar es Salaam leo.  





Hivyo makala SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC), KAMPUNI YA NDEGE TANZANIA (ATCL) ZATILIANA SAINI MKATABA WA MAKUBALINAO YA USHIRIKIANO WA KUTOA HUDUMA

yaani makala yote SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC), KAMPUNI YA NDEGE TANZANIA (ATCL) ZATILIANA SAINI MKATABA WA MAKUBALINAO YA USHIRIKIANO WA KUTOA HUDUMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC), KAMPUNI YA NDEGE TANZANIA (ATCL) ZATILIANA SAINI MKATABA WA MAKUBALINAO YA USHIRIKIANO WA KUTOA HUDUMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/shirika-la-posta-tanzania-tpc-kampuni.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC), KAMPUNI YA NDEGE TANZANIA (ATCL) ZATILIANA SAINI MKATABA WA MAKUBALINAO YA USHIRIKIANO WA KUTOA HUDUMA"

Post a Comment

Loading...