Loading...
title : TAMASHA LA MIAKA 40 YA BIA YA SAFARI LAGER LILIVYOBAMBA JIJINI DAR
link : TAMASHA LA MIAKA 40 YA BIA YA SAFARI LAGER LILIVYOBAMBA JIJINI DAR
TAMASHA LA MIAKA 40 YA BIA YA SAFARI LAGER LILIVYOBAMBA JIJINI DAR
Msanii Mkongwe wa Muziki Bongo Fleva, Juma Nature akiongoza kundi la TMK Wanaume Family katika Tamasha la Miaka 40 ya Bia ya Safari Lager lililofanyika katika Viwanja vya Readers Club Jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Msanii wa Bongofleva Barnaba akiimba kwa kutumia Live band katika Tamasha la Miaka 40 ya Bia ya Safari Lager lililofanyika katika Viwanja vya Readers Club Jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki
Msanii Mkongwe wa Muziki wa Bongo Fleva , Rehema Chalamila (Ray C) akitoa Burudani katika Tamasha la Miaka 40 ya Bia ya Safari Lager lililofanyika katika Viwanja vya Readers Club Jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Dj Maarufu kutoka kituo cha Radio cha Clouds Fm, Dj Zero akionyesha ufundi wa kuchezea Santuri katika Tamasha la Miaka 40 ya Bia ya Safari Lager lililofanyika katika Viwanja vya Readers Club Jijini Dar es Salaam
Dj Mkongwe katika uchezeshaji wa Santuri, John Dilinga (DJ JD) akionyesha ufundi kwa kupiga nyimbo za Zamani katika Tamasha la Miaka 40 ya Bia ya Safari Lager lililofanyika katika Viwanja vya Readers Club Jijini Dar es Salaam.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Hivyo makala TAMASHA LA MIAKA 40 YA BIA YA SAFARI LAGER LILIVYOBAMBA JIJINI DAR
yaani makala yote TAMASHA LA MIAKA 40 YA BIA YA SAFARI LAGER LILIVYOBAMBA JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TAMASHA LA MIAKA 40 YA BIA YA SAFARI LAGER LILIVYOBAMBA JIJINI DAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/tamasha-la-miaka-40-ya-bia-ya-safari.html
0 Response to "TAMASHA LA MIAKA 40 YA BIA YA SAFARI LAGER LILIVYOBAMBA JIJINI DAR"
Post a Comment