Loading...
title : TAMWA ZANZIBAR
link : TAMWA ZANZIBAR
TAMWA ZANZIBAR
Mjumbe wa Bodi ya Tamwa Zanzibar Rukia Issa akizungumza na mwanachama wa Tamwa Zanzibar huko katika Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi
Mwanachama wa Tamwa Zanzibar Salma Lusangi akimkabidhi fedha Katibu wa Kamati ya uchangishaji fedha za ujenzi wa jengo jipya la ofisi ya Tamwa Zanzibar Mwarabu Suleiman
Baadhi ya wanachama wa Tamwa Zanzibar wakifuatilia kikao cha uchangiaji fedha kwa ajili ya ujenzi wa jingo jipya la ofisi ya Tamwa Zanzibar kilichafanyika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Vuga Zanzibar (Picha na Kijakazi Abdalla-Maelezo)
Hivyo makala TAMWA ZANZIBAR
yaani makala yote TAMWA ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TAMWA ZANZIBAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/tamwa-zanzibar.html
0 Response to "TAMWA ZANZIBAR"
Post a Comment