Loading...

TCAA YASHIRIKI MAONESHO YA NANE NANE MKOANI LINDI

Loading...
TCAA YASHIRIKI MAONESHO YA NANE NANE MKOANI LINDI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TCAA YASHIRIKI MAONESHO YA NANE NANE MKOANI LINDI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TCAA YASHIRIKI MAONESHO YA NANE NANE MKOANI LINDI
link : TCAA YASHIRIKI MAONESHO YA NANE NANE MKOANI LINDI

soma pia


TCAA YASHIRIKI MAONESHO YA NANE NANE MKOANI LINDI

Afisa Muongoza Ndege Mwandamizi, Godlove Longole akitoa elimu kwa wanafunzi waliotembelea banda la Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) katika viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi.
 Afisa Muongoza Ndege Mwanadamizi (kulia) Godlove Longole na Afisa Habari Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA), Bestina Magutu wakitoa Elimu kwa watoto waliotembelea Banda la TCAA katika Viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi.
Mkufunzi Mwandamizi wa Chuo cha Usafiri wa Anga Tanzania (CATC) Kinachomilikiwa na Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) Adinan Mvungi (Kulia),Adinan Mvungi Akitoa Elimu kwa Wanafunzi Waliotembelea Banda la TCAA Katika Viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi.
 Afisa Habari Msaidizi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Ally Changwila  akitoa elimu kwa Mwanafunzi  aliyetembelea Banda la TCAA katika viwanja vya Ngongo mkoani Lindi.
Afisa Habari Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA), Bestina Magutu(wa pili kutoka kushoto) akitoa Elimu kwa wananchi waliotembelea banda la TCAA katika Viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi. Wa kwanza kushoto ni Afisa Muongoza Ndege Mwanadamizi Godlove Longole.
Afisa Habari Msaidizi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Ally Changwila  akitoa elimu kwa Mkurugenzi wa Utafiti na Matumizi –Taarifa za Hali ya Hewa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini(TMA), Dkt Ladislaus Chang’a  aliyetembelea Banda la TCAA katika viwanja vya Ngongo mkoani Lindi.
 Timu ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), wakiwa kwenye picha ya pamoja katika maonesho ya Nane nane 2017 katika viwanja vya Ngongo Lindi. 


Hivyo makala TCAA YASHIRIKI MAONESHO YA NANE NANE MKOANI LINDI

yaani makala yote TCAA YASHIRIKI MAONESHO YA NANE NANE MKOANI LINDI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TCAA YASHIRIKI MAONESHO YA NANE NANE MKOANI LINDI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/tcaa-yashiriki-maonesho-ya-nane-nane.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TCAA YASHIRIKI MAONESHO YA NANE NANE MKOANI LINDI"

Post a Comment

Loading...