Loading...
title : Tigo watiliana saini na Mfuko wa Mawasiliano kwa wote (UCSAF)
link : Tigo watiliana saini na Mfuko wa Mawasiliano kwa wote (UCSAF)
Tigo watiliana saini na Mfuko wa Mawasiliano kwa wote (UCSAF)
Mwambawahabari
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Tanzania, Simon Karikari akitia saini ya Mkataba wa Kufikisha Mawasiliano Vijijini na Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), Eng. Peter Ulanga wakati wa hafla ya kusaini mkataba huo iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Wanaoshuhudia (katikati) ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa pamoja na maafisa wengine wa mfuko huo. Hafla hiyo ilishirikisha makampuni ya simu nchini.
|
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Tanzania, Simon Karikari akipeana mkono wa pongezi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), Eng. Peter Ulanga mara baada ya kusaini mkataba wa kufikisha mawasiliano vijijini kwa kampuni za simu Tanzania. Wanaoshuhudia (katikati) ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa. Hafla iliyoshirikisha makampuni ya simu, ilifanyika jijini Dar Es Salaam mapema wiki iliyopita.
|
Wakuu wa kampuni za simu Tanzania wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kusaini Mkataba wa Kufikisha Mawasiliano Vijijini . |
Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), Eng. Peter Ulanga akizungumza na wageni waalikwakwenye hafla ya kusainiana mikataba na makampuni ya simu jijini Dar Es Salaam mapema wiki iliyopita.
|
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa akizungumza na wageni waalikwa kwenye hafla ya kusainiana mikataba na makampuni ya simu jijini Dar Es Salaam mapema wiki iliyopita. |
Hivyo makala Tigo watiliana saini na Mfuko wa Mawasiliano kwa wote (UCSAF)
yaani makala yote Tigo watiliana saini na Mfuko wa Mawasiliano kwa wote (UCSAF) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Tigo watiliana saini na Mfuko wa Mawasiliano kwa wote (UCSAF) mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/tigo-watiliana-saini-na-mfuko-wa.html
0 Response to "Tigo watiliana saini na Mfuko wa Mawasiliano kwa wote (UCSAF)"
Post a Comment