Loading...

UCSAF imesaini makubaliano na Airtel kupeleka mawasiliano vijijini

Loading...
UCSAF imesaini makubaliano na Airtel kupeleka mawasiliano vijijini - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UCSAF imesaini makubaliano na Airtel kupeleka mawasiliano vijijini, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UCSAF imesaini makubaliano na Airtel kupeleka mawasiliano vijijini
link : UCSAF imesaini makubaliano na Airtel kupeleka mawasiliano vijijini

soma pia


UCSAF imesaini makubaliano na Airtel kupeleka mawasiliano vijijini

UCSAF imesaini makubaliano na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel pamoja na makampuni mengine ya simu nchini kwa lengo la kuhakikisha mawasiliano ya simu yanawafikia watanzania wote hadi vijijini. Hafla ma makubaliano hayo imefanyika leo kwenye makao makuu ya Mfuko huo jijini Dar es Salaam,

"mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel Bi, Beatrice Singano Mallya alisema "Airtel tunasaini mkataba huu kwa lengo lakuendelea kutimiza mawasiliano kwa wote nchini

Singano alisema kuwa "uwepo wa mawasiliano haya vijijini utasaidia hata kutimiza malengo mbalimbali ambayo serikali imejiwekea katika kupanua uchumi wa nchi kwa ujumla, elimu, afya, uboreshwaji wa kilimo pamoja na huduma za kibenki kwa maeneo ambayo yako pembezoni.
Afisa Mtendaji Mkuu (CEO), wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), Mhandisi. Peter Ulanga, (kushoto), na Mwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel, Bi. Beatrice Singano Malya wakisaini mkataba wa Mradi wa sita wa kupeleka mawasiliano kwa wote. UCSAF imesaini makubaliano na makampuni yote ya simu nchini yenye lengo la kuhakikisha mawasiliano ya simu yanawafikia watanzania wote hadi vijijini na hafla hiyo imefanyika kwenye makao makuu ya Mfuko huo jijini Dar es Salaam, Agosti 18, 2017.

 Afisa Mtendaji Mkuu (CEO), wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), Mhandisi. Peter Ulanga, (kushoto), na Mwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel, Bi. Beatrice Suingano Malya, wakibadilishana hati baada ya kusaini mkataba wa sita wa kepeleka mawasiliano ya simu kwa wote. UCSAF imesaini makubaliano na makampuni yote ya simu nchini yenye lengo la kuhakikisha mawasiliano ya simu yanawafikia watanzania wote hadi vijijini na hafla hiyo imefanyika kwenye makao makuu ya Mfuko huo jijini Dar es Salaam, Agosti 18, 2017.
 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mnyaa Mbarawa, (kulia), akimpongeza Mwakilsh wa Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel, Bi. Beatrice Singano Malya, mara baada ya Airtel kusaini mkataba wa sita wa Mradi wa kupeleka mawasiliano ya simu kwa wote na Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote, (UCAF), jijini Dar es Salaam, Agosti 18, 2017


Hivyo makala UCSAF imesaini makubaliano na Airtel kupeleka mawasiliano vijijini

yaani makala yote UCSAF imesaini makubaliano na Airtel kupeleka mawasiliano vijijini Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UCSAF imesaini makubaliano na Airtel kupeleka mawasiliano vijijini mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/ucsaf-imesaini-makubaliano-na-airtel.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UCSAF imesaini makubaliano na Airtel kupeleka mawasiliano vijijini"

Post a Comment

Loading...