Loading...

UHAMIAJI WAMALIZA UTATA WA URAIA WA KARIA

Loading...
UHAMIAJI WAMALIZA UTATA WA URAIA WA KARIA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UHAMIAJI WAMALIZA UTATA WA URAIA WA KARIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UHAMIAJI WAMALIZA UTATA WA URAIA WA KARIA
link : UHAMIAJI WAMALIZA UTATA WA URAIA WA KARIA

soma pia


UHAMIAJI WAMALIZA UTATA WA URAIA WA KARIA


Michuzi Karia
Msemaji Mkuu wa Idara ya Uhamiaji, Mrakibu wa Uhamiaji Ally Mtanda akiongea na Vyombo vya Habari kuhusu matokeo ya uchunguzi wa suala la utata wa uraia wa Ndugu Wallace John Karia, ambaye ni mgombea wa nafasi ya Urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, TFF. Kutokana na pingamizi lililowekwa na Wakili Imani Madega, mgombea mwingine wa nafasi hiyo.
…………………………..
Idara ya Uhamiaji Tanzania, imemaliza utata juu ya uraia wa mgombea wa urais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia, baada ya kusema ni raia halali wa Tanzania tofauti na wengine wanavyosema.
Uhamiaji wamefikia hatua hiyo baada ya Karia kuwekewa pingamizi na mgombea mwenzake, Imani Madega ambaye alisema mgombea huyo si Mtanzania, bali ni Msomalia, hivyo hana vigezo vya kushiriki Uchaguzi Mkuu wa TFF unaotarajiwa kufanyika Agosti 12, mwaka huu.
Msemaji Mkuu wa Uhamiaji, Mrakibu Ally Mtanda, amesema: “Baada ya kupokea taarifa hiyo, tumefanya uchunguzi na kubaini kwamba Karia ni Mtanzania na wala si Msomalia.
“Karia alizaliwa hapa nchini ambapo mama yake ni Mtanzania wakati baba yake ni Msomalia. Kutokana na msingi huo, Karia ni raia wa Tanzania kwa kuzaliwa chini ya kifungu 5(1) na (2) cha sheria ya uraia ya Tanzania sura ya 357 (Rejeo la 2002 na kanuni zake. 
“Wakati huohuo akiwa raia wa Somalia kwa kurithi. Ni hitaji la kisheria chini ya kifungu cha 7(1), pale mtu anapokuwa  na uraia wa nchi mbili kuukana uraia wa nchi moja anapofikisha umri wa miaka 18 hatua ambayo Karia aliitekeleza na kuthibitishwa ni raia wa Tanzania kwa kuzaliwa.”


Hivyo makala UHAMIAJI WAMALIZA UTATA WA URAIA WA KARIA

yaani makala yote UHAMIAJI WAMALIZA UTATA WA URAIA WA KARIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UHAMIAJI WAMALIZA UTATA WA URAIA WA KARIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/uhamiaji-wamaliza-utata-wa-uraia-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UHAMIAJI WAMALIZA UTATA WA URAIA WA KARIA"

Post a Comment

Loading...