Loading...
title : Ujenzi wa Tazara Flyover Wakamilika kwa Asilimia 53
link : Ujenzi wa Tazara Flyover Wakamilika kwa Asilimia 53
Ujenzi wa Tazara Flyover Wakamilika kwa Asilimia 53
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa. Makame Mbarawa akimuelezea jambo Rais wa Shirika la Maendeleo Kimataifa la Japan (JICA) Dkt. Shinichi Kitaoka (kushoto) alipotembelea kukagua maendeleo ujenzi wa Barabara ya Juu (Tazara Flyover) inayoendelea kujengwa katika eneo la Tazara Jijini Dar es Salaam leo.
Rais wa Shirika la Maendeleo Kimataifa la Japan (JICA) Dkt. Shinichi Kitaoka akimuelezea jambo Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (kulia) alipotembelea kukagua maendeleo ujenzi wa Barabara ya Juu (Tazara Flyover) inayoendelea kujengwa katika eneo la Tazara Jijini Dar es Salaam leo.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa. Makame Mbarawa akisikiliza maelezo kutoka kwa mmoja wa wataalamu wa Kampuni ya Ujenzi ya Sumitomo Mitsui wakati wa ziara ya Rais wa Shirika la Maendeleo Kimataifa la Japan (JICA) Dkt. Shinichi Kitaoka (watatu kushoto) alipotembelea kukagua maendeleo ujenzi wa Barabara ya Juu (Tazara Flyover) inayoendelea kujengwa katika eneo la Tazara Jijini Dar es Salaam leo.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa. Makame Mbarawa akitazama mchoro wa mradi wa ujenzi wa Barabara ya Juu (Tazara Flyover) wakati wa ziara ya Rais wa Shirika la Maendeleo Kimataifa la Japan (JICA) Dkt. Shinichi Kitaoka (kushoto kwake) alipotembelea kukagua maendeleo ya ujenzi wa Barabara hiyo leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni mmoja wa wataalamu wa Kampuni ya Ujenzi ya Sumitomo Mitsui ambayo ndiyo mkandarasi wa mradi huo
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa na Rais wa Shirika la Maendeleo Kimataifa la Japan (JICA) Dkt. Shinichi Kitaoka wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watendaji wa TANROADS, na wataalamu wa Ujenzi mara baada ya kumaliza ziara ya kukagua maendeleo ujenzi wa Barabara ya Juu (Tazara Flyover) inayoendelea kujengwa katika eneo la Tazara Jijini Dar es Salaam leo.
Muonekano wa Juu na Pembeni mwa bararaba ya Juu (Tazara Flyover) ambao ujenzi wake umekamiklika kwa asilimia 53 na unatarajiwa kukamilika mapema mwezi wa kumi mwakani.
Picha na: Idara ya Habari – MAELEZO

Hivyo makala Ujenzi wa Tazara Flyover Wakamilika kwa Asilimia 53
yaani makala yote Ujenzi wa Tazara Flyover Wakamilika kwa Asilimia 53 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Ujenzi wa Tazara Flyover Wakamilika kwa Asilimia 53 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/ujenzi-wa-tazara-flyover-wakamilika-kwa.html
0 Response to "Ujenzi wa Tazara Flyover Wakamilika kwa Asilimia 53"
Post a Comment