Loading...

UVCCM YASIFU UTEKELEZWAJI WA ILANI YA UCHAGUZI PEMBA

Loading...
UVCCM YASIFU UTEKELEZWAJI WA ILANI YA UCHAGUZI PEMBA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UVCCM YASIFU UTEKELEZWAJI WA ILANI YA UCHAGUZI PEMBA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UVCCM YASIFU UTEKELEZWAJI WA ILANI YA UCHAGUZI PEMBA
link : UVCCM YASIFU UTEKELEZWAJI WA ILANI YA UCHAGUZI PEMBA

soma pia


UVCCM YASIFU UTEKELEZWAJI WA ILANI YA UCHAGUZI PEMBA

Na Mathias Canal, Kaskazini Pemba

Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Umeipongeza serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi Visiwani Pemba.

UVCCM imesema kuwa RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein amefanya mabadiliko makubwa ya kimaendeleo ikiwemo kuundwa kwa Mamlaka ya Viwanja vya ndege vya Zanzibar jambo ambalo litaongeza mapato kwa serikali na vipato kwa wananchi.

Kauli hiyo imetolewa na Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Ndg Shaka Hamdu Shaka leo Agosti 17, 2017 alipokuwa akizungumza na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi na jumuiya zake katika mkutano wa ndani uliofanyika katika ukumbi wa Jamhuri Wilayani Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba.
Kaimu katibu mkuu wa umoja wa Vijana wa CCM Shaka Hamdu Shaka akizungumza na kikundi cha wajasiliamali kikundi cha ushoni Mchanga mdogo Mkoa wa Kaskazini pemba wilaya Wete.
Kaimu katibu mkuu wa umoja wa Vijana wa CCM Shaka Hamdu Shaka(wa kwanza kushoto) akishiriki ujenzi wa Jengo la maskani Mtambwe Wilayani wete.
Wanachama na Viongozi wa CCM na Jumuiya zake Wilaya ya Wete wakifuatilia kwa Umakini mkutano huo.
Kaimu katibu mkuu wa umoja wa Vijana wa CCM Shaka Hamdu Shaka akizungumza katika Mkutano wa ndani akizungumza na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi na jumuiya zake katika mkutano wa ndani uliofanyika katika ukumbi wa Jamhuri Wilayani Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba.



Hivyo makala UVCCM YASIFU UTEKELEZWAJI WA ILANI YA UCHAGUZI PEMBA

yaani makala yote UVCCM YASIFU UTEKELEZWAJI WA ILANI YA UCHAGUZI PEMBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UVCCM YASIFU UTEKELEZWAJI WA ILANI YA UCHAGUZI PEMBA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/uvccm-yasifu-utekelezwaji-wa-ilani-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UVCCM YASIFU UTEKELEZWAJI WA ILANI YA UCHAGUZI PEMBA"

Post a Comment

Loading...