Loading...

Wananchi watakiwa kujiunga na Mfuko wa Afya

Loading...
Wananchi watakiwa kujiunga na Mfuko wa Afya - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wananchi watakiwa kujiunga na Mfuko wa Afya, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wananchi watakiwa kujiunga na Mfuko wa Afya
link : Wananchi watakiwa kujiunga na Mfuko wa Afya

soma pia


Wananchi watakiwa kujiunga na Mfuko wa Afya

Na Robert Hokororo, Kishapu DC.

Wananchi wametakiwa kujiunga na Mfuko wa Afya (CHF) iliyoboreshwa ili wapate huduma na kuboresha afya zao na hivyo kuweza kushiriki shughuli mbalimbali za uzalishaji.

Wito huo ulitolewa jana na Katibu Tawala Wilaya ya Kishapu, Shadrack Kangese wakati akizindua kampeni ya uhamasishaji shughuli za afya wilayani hapa.

Akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa wilaya hiyo katika kijiji cha Malwilo, Mheshimiwa Nyabaganga Taraba, Kangese aliwataka viongozi wa serikali za vijiji kuonesha mfano kwa kujiunga na mfuko huo mapema.Kangese pia aliwataka viongozi hao kuhamasisha kaya zingine zijiunge ifikapo Oktoba mwaka huu wakiwemo walengwa wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF). 

Alisema huduma hiyo ni muhimu kwa wananchi wasiojiweza na wenye kipato cha chini ambapo kwa sh. 10,000 humuwezesha kuhudumiwa yeye na watu wengine sita katika kaya kwa mwaka mzima.

Alisema Serikali imeendelea kuboresha huduma za afya kwa kutengeneza miundombinu, kutoa vifaa tiba na kuongeza wataalamu wa sekta hiyo ili waweze kuhudumia wananchi kwa ufanisi.Katibu Tawala huyo aliongeza kuwa utekelezaji wa mradi wa CHF iliyoboreshwa ulianza rasmi Machi 2016 kwa kuimarisha mfumo wa fedha na uoreshaji dawa na vifaa tiba.
 Katibu Tawala Wilaya ya Kishapu, Shadrack Kangese akizungumza wakati wa kampeni ya afya aliyoizindua kijiji cha Malwilo kata ya Somagedi.
 Mwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Kishapu, Dk. Josephat Shani ambaye pia mganga mkuu wa wilaya akizunguza wakati wa uzinduzi huo.
 Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Maguja Daniel akitoa neno wakati wa uzinduzi huo. 

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala Wananchi watakiwa kujiunga na Mfuko wa Afya

yaani makala yote Wananchi watakiwa kujiunga na Mfuko wa Afya Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wananchi watakiwa kujiunga na Mfuko wa Afya mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/wananchi-watakiwa-kujiunga-na-mfuko-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Wananchi watakiwa kujiunga na Mfuko wa Afya"

Post a Comment

Loading...