Loading...

WATEJA WA ZANTEL KUFURAHIA HUDUMA ZA SIMU NA INTANETI ZILIZOBORESHWA ZAIDI.

Loading...
WATEJA WA ZANTEL KUFURAHIA HUDUMA ZA SIMU NA INTANETI ZILIZOBORESHWA ZAIDI. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WATEJA WA ZANTEL KUFURAHIA HUDUMA ZA SIMU NA INTANETI ZILIZOBORESHWA ZAIDI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WATEJA WA ZANTEL KUFURAHIA HUDUMA ZA SIMU NA INTANETI ZILIZOBORESHWA ZAIDI.
link : WATEJA WA ZANTEL KUFURAHIA HUDUMA ZA SIMU NA INTANETI ZILIZOBORESHWA ZAIDI.

soma pia


WATEJA WA ZANTEL KUFURAHIA HUDUMA ZA SIMU NA INTANETI ZILIZOBORESHWA ZAIDI.

 Wateja wa Zantel sasa wataendelea kufurahia huduma zenye ubora wa hali ya juu kwenye upigaji wa simu na kunufaika na matumizi ya data yenye kasi. Zantel imekuwa kampuni ambayo imepiga hatua kwa kuboresha huduma yake ya mtandao na kuahidi kuendelea kuleta mabadiliko kwenye sekta ya mawasiliano ili kuendelea kubadili maisha ya mamilioni ya watu nchini Tanzania.

Ofisa Mkuu wa Masuala ya Ufundi na Teknolojia Zantel, Larry Arthur alisema, “ Tumeanza kuboresha mtandao wetu tangu Septemba ya mwaka 2016 na tulikuwa na lengo la kukamilisha kazi yetu mwezi Juni mwaka huu, lakini kutokana na mvua kubwa zilizonyesha kipindi cha hivi karibuni, ukamilishaji wa kazi hii umechelewa kufanyika kwa wakati”.

Mchakato wa kuboresha mifumo yetu ya mtandao Zanzibar na Tanzania Bara kwa sasa inakaribia kukamilika na tunafurahi kuwaeleza wateja wetu kwamba tayari tumeshaanza kufurahia matunda ya ubora wa usikivu katika kupiga simu na huduma za data kupitia mtandao wa 4G wa Zantel wenye kasi zaidi.

Kuboresha mfumo wetu wa mtandao kumeimarisha mfumo wa mtandao wa Zantel na kufika maeneo mengi zaidi pia watumiaji wa intaneti wamenufaika na huduma ya haraka ya 4G inayopatikana kwa sasa.

Zantel imekamilisha awamu ya kwanza ya uboreshaji wa mtandao Kisiwani Pemba na Mkoa wa Magharibi Unguja kuweka mfumo wa mtandao wa kisasa. Baada ya kukamilisha awamu hii, inayofuata itakuwa ni kuimarisha miundombinu ya Zantel eneo la Kaskazini na Kusini mwa Unguja.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Mkuu wa masuala ya Teknolojia na Ufundi Zantel, Larry Arthur (wa pili kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kisiwani Zanzibar hivi karibuni kuhusu uboreshwaji wa mtandao wa Zantel baada ya Kampuni hiyo kupokea vifaa vipya kutoka Ericsson na Huawei Technologies vitakavyotumika kuboresha mtandao huo. Wengine kutoka kushoto ni William Cheng (Wei) wa Huawei Technologies, Mkuu wa Zantel Zanzibar, Mohamed Khamis Mussa (Baucha) na Mwakilishi wa Kampuni ya Ericsson, Frode Dyrdal.


Hivyo makala WATEJA WA ZANTEL KUFURAHIA HUDUMA ZA SIMU NA INTANETI ZILIZOBORESHWA ZAIDI.

yaani makala yote WATEJA WA ZANTEL KUFURAHIA HUDUMA ZA SIMU NA INTANETI ZILIZOBORESHWA ZAIDI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WATEJA WA ZANTEL KUFURAHIA HUDUMA ZA SIMU NA INTANETI ZILIZOBORESHWA ZAIDI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/wateja-wa-zantel-kufurahia-huduma-za.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WATEJA WA ZANTEL KUFURAHIA HUDUMA ZA SIMU NA INTANETI ZILIZOBORESHWA ZAIDI."

Post a Comment

Loading...