Loading...

Waziri Lukuvi Akabidhi hati zaidi ya 4000 Dar

Loading...
Waziri Lukuvi Akabidhi hati zaidi ya 4000 Dar - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Waziri Lukuvi Akabidhi hati zaidi ya 4000 Dar, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Waziri Lukuvi Akabidhi hati zaidi ya 4000 Dar
link : Waziri Lukuvi Akabidhi hati zaidi ya 4000 Dar

soma pia


Waziri Lukuvi Akabidhi hati zaidi ya 4000 Dar


Na Jonas Kamaleki-MAELEZO

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. William Lukuvi amekabidhi hatimiliki 88 kwa wakazi wa Kimara, jijini Dar es Salaam kati ya 4333 ambazo ziko kwenye hatua za mwisho katika mradi wa urasimishaji wa makazi holela.

Akikabidhi hatimiliki hizo, Mhe. Lukuvi amesema hizi hati ni mtaji uliofufuliwa baada ya wakazi kukakaa na kuendeleza maeneo yasiyopimwa yaani mtaji mfu kwani hakuna mtu yeyote ambaye angewezakupata mkopo bila hati.

Mhe. Lukuvi amesema kuwa Serikali ya Aawamu ya Tano inayo dhamira ya dhati ya kurasimisha makazi nchi nzima ili kuongeza thamani ya ardhi au maeneo husika. Ardhi yenye hatimiliki thamani yake inaongezeka kwani inatambuliwa na taasisi za fedha ambazo ni rahisi kukuopesha wenye hati.

“Kwa hati hizi zilizotolewa takribani 4333 tukisema kila nyumba ikopeshwe kwa kiwango cha chini cha shilingi milioni 10, kwa siku ya leo Kimara inapata mtaji wa karibu bilioni 40.5,”alisema Mhe. Lukuvi.

Aliongeza kuwa maeneo yote ya miji ambayo hayajapimwa, yapimwe na halmashauri na manispaa zote nchini ili kuyaongezea thamani na kuondokana adha ya watu kujenga kwenye makazi holela.
 Waziri wa Ardhi , Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi  akizungumza leo na wananchi wa mtaa Lungule juu ya kudhibiti matapeli wa ardhi, na migogoro mbalimbali ya ardhi hapa nchini.
Meya wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob akizungumza mbele ya Wananchi leo katika hafla ya kukabidhi hati 88  kwa wakazi wa Kimara, jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wananchi mtaa Lungule waliokabidhiwa hati wakiwa katika picha ya pamoja.Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya jamii.



Hivyo makala Waziri Lukuvi Akabidhi hati zaidi ya 4000 Dar

yaani makala yote Waziri Lukuvi Akabidhi hati zaidi ya 4000 Dar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Lukuvi Akabidhi hati zaidi ya 4000 Dar mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/waziri-lukuvi-akabidhi-hati-zaidi-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Waziri Lukuvi Akabidhi hati zaidi ya 4000 Dar"

Post a Comment

Loading...