Loading...
title : WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA BALOZI WA VIETNAM BW.NGUYEN KIM DOANH JIJINI DAR ES SALAAM
link : WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA BALOZI WA VIETNAM BW.NGUYEN KIM DOANH JIJINI DAR ES SALAAM
WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA BALOZI WA VIETNAM BW.NGUYEN KIM DOANH JIJINI DAR ES SALAAM
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Kazi, Vijana Ajira na Watu Wenye Ulemavu) Jenista Mhagama (Mb) akisisitiza jambo pamoja na Balozi wa Vietnam Bw. Nguyen Kim Doanh ofisini kwake, Jijini Dar es Salaam Agosti 2,2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu) Jenista Mhagama (Mb) akizungumza na Balozi wa Vietnam Bw. Nguyen Kim Doanh kuhusu ushirikiano baina ya nchi ya Vietnam na Tanzania ofisini kwake, Jijini Dar es Salaam Agosti 2, 2017. Kulia ni Msaidizi wa Balozi Bw. Ton Ho Tri Dzung.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu) Jenista Mhagama (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Vietnam Bw. Nguyen Kim Doanh baada ya mazungumzo yao, ofisini kwake Jijini Dar es Salaam Agosti 2, 2017.
Hivyo makala WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA BALOZI WA VIETNAM BW.NGUYEN KIM DOANH JIJINI DAR ES SALAAM
yaani makala yote WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA BALOZI WA VIETNAM BW.NGUYEN KIM DOANH JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA BALOZI WA VIETNAM BW.NGUYEN KIM DOANH JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/waziri-mhagama-akutana-na-balozi-wa_2.html
0 Response to "WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA BALOZI WA VIETNAM BW.NGUYEN KIM DOANH JIJINI DAR ES SALAAM"
Post a Comment