Loading...
title : WIZARA YA FEDHA YAPOKEA GAWIO LA BILIONI 19.5 KUTOKA BENKI YA CRDB
link : WIZARA YA FEDHA YAPOKEA GAWIO LA BILIONI 19.5 KUTOKA BENKI YA CRDB
WIZARA YA FEDHA YAPOKEA GAWIO LA BILIONI 19.5 KUTOKA BENKI YA CRDB
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dotto James, akipokea mfano wa hundi ya shilingi bilioni 19.5 kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay, ikiwa ni gawio kutokana na hisa zinazomilikiwa na serikali katika benki hiyo. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dotto James, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa hafla ya kupokea mfano wa hundi ya shilingi bilioni 19.5 kutoka Benki ya CRDB, ikiwa ni gawio kutokana na hisa zinazomilikiwa na serikali katika benki hiyo. Hafla hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Hazina, jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay akifuatiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akifafanua jambo, wakati wa hafla ya kupokea mfano wa hundi ya shilingi bilioni 19.5 kutoka Benki ya CRDB, ikiwa ni gawio kutokana na hisa zinazomilikiwa na serikali katika benki hiyo. Hafla hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Hazina, jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay.
Hivyo makala WIZARA YA FEDHA YAPOKEA GAWIO LA BILIONI 19.5 KUTOKA BENKI YA CRDB
yaani makala yote WIZARA YA FEDHA YAPOKEA GAWIO LA BILIONI 19.5 KUTOKA BENKI YA CRDB Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WIZARA YA FEDHA YAPOKEA GAWIO LA BILIONI 19.5 KUTOKA BENKI YA CRDB mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/wizara-ya-fedha-yapokea-gawio-la.html
0 Response to "WIZARA YA FEDHA YAPOKEA GAWIO LA BILIONI 19.5 KUTOKA BENKI YA CRDB"
Post a Comment