Loading...
title : ZIARA YA RAIS DK.SHEIN WILAYA YA CHAKE CHAKE
link : ZIARA YA RAIS DK.SHEIN WILAYA YA CHAKE CHAKE
ZIARA YA RAIS DK.SHEIN WILAYA YA CHAKE CHAKE
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Soko la Samaki Chakechake linalojengwa na kampuni ya ZECCON CO.Ltd ya hapa nchini wakati wa ziara ya Rais kukagua na Kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo katika Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akifungua pazia kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Soko la Samaki Chakechake linalojengwa na kampuni ya ZECCON CO.Ltd ya hapa nchini wakati wa ziara yake ya kukagua na Kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo katika Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba
Hivyo makala ZIARA YA RAIS DK.SHEIN WILAYA YA CHAKE CHAKE
yaani makala yote ZIARA YA RAIS DK.SHEIN WILAYA YA CHAKE CHAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ZIARA YA RAIS DK.SHEIN WILAYA YA CHAKE CHAKE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/ziara-ya-rais-dkshein-wilaya-ya-chake_26.html
0 Response to "ZIARA YA RAIS DK.SHEIN WILAYA YA CHAKE CHAKE"
Post a Comment