Loading...

Afisa Elimu Wilaya Akabidhi Zawadi Kwa Wanafunzi Bora Pemba.

Loading...
Afisa Elimu Wilaya Akabidhi Zawadi Kwa Wanafunzi Bora Pemba. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Afisa Elimu Wilaya Akabidhi Zawadi Kwa Wanafunzi Bora Pemba., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Afisa Elimu Wilaya Akabidhi Zawadi Kwa Wanafunzi Bora Pemba.
link : Afisa Elimu Wilaya Akabidhi Zawadi Kwa Wanafunzi Bora Pemba.

soma pia


Afisa Elimu Wilaya Akabidhi Zawadi Kwa Wanafunzi Bora Pemba.

AFISA Elimu Wilaya ya Chake Chake Abdalla Mohamed Muya, akimkabidhi zawadi mwanafunzi bora Kidato cha sita Asmaa Ahmed, aliyepata daraja la kwanza katika skuli ya Sekondari Shamiani Chake Chake Pemba,katika hafla ya kuwakabidhi zawadi wanafunzi watatu waliopara daraja hilo
Afisa Elimu Wilaya ya Chake Chake Abdalla Mohamed Muya, akipokea box la vitabu vya masomo ya sayansi kutoka kwa Mwanasheria dhamana kutoka Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashataka Pemba, Ali Bilali Hassan katikati, wakati wa hafla ya utoaji zawadi kwa wanafunzi waliofanya vizuri na kudata daraja la kwanza katika skuli ya Shamiani Sekondari Chake Chake
WANAFUNZI wa Skuli ya Sekondari Shamiani Chake Chake, wakifuatilia kwa makini utoaji wa zawadi kwa wanafunzi waliofanya vizuri, kidato cha sita mwaka huu na kupata daraja la kwanza.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)


Hivyo makala Afisa Elimu Wilaya Akabidhi Zawadi Kwa Wanafunzi Bora Pemba.

yaani makala yote Afisa Elimu Wilaya Akabidhi Zawadi Kwa Wanafunzi Bora Pemba. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Afisa Elimu Wilaya Akabidhi Zawadi Kwa Wanafunzi Bora Pemba. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/afisa-elimu-wilaya-akabidhi-zawadi-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Afisa Elimu Wilaya Akabidhi Zawadi Kwa Wanafunzi Bora Pemba."

Post a Comment

Loading...