Loading...

ARUSHA:MOTO WATEKETEZA NYUMBA ZA FAMILIA 13 ZA POLISI

Loading...
ARUSHA:MOTO WATEKETEZA NYUMBA ZA FAMILIA 13 ZA POLISI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ARUSHA:MOTO WATEKETEZA NYUMBA ZA FAMILIA 13 ZA POLISI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ARUSHA:MOTO WATEKETEZA NYUMBA ZA FAMILIA 13 ZA POLISI
link : ARUSHA:MOTO WATEKETEZA NYUMBA ZA FAMILIA 13 ZA POLISI

soma pia


ARUSHA:MOTO WATEKETEZA NYUMBA ZA FAMILIA 13 ZA POLISI

Mwambawahabari

FAMILIA 13 zenye watu 44 zimeathiriwa kwa moto ulioibuka kwenye nyumba wanazoishi askari polisi katika Kata ya Sekei mkoani Arusha usiku wa kuamkia leo.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo ambaye pia aliwahi kufika eneo la tukio usiku huo amesema taarifa za awali zinasema chanzo cha moto huo ni hitilafu ya umeme na uchunguzi unaendelea. Gambo amesema hakuna mtu aliyejeruhiwa katika tukio hilo.
Mkuu wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji mkoani Arusha, Andrew Komba amesema moto huo umeshadhibitiwa. “Tungefika mapema nusu ya nyumba zilizoteketea tungeziokoa,” amesema Komba.
Amesema taarifa kuhusu tukio hilo zimewafikia kwa kuchelewa. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo amesema hali ni shwari na hakuna wizi uliotokea. Amesema tukio hilo ni janga, hivyo watakaa kuona ni kwa namna gani watawasaidia  walioathiriwa.


Hivyo makala ARUSHA:MOTO WATEKETEZA NYUMBA ZA FAMILIA 13 ZA POLISI

yaani makala yote ARUSHA:MOTO WATEKETEZA NYUMBA ZA FAMILIA 13 ZA POLISI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ARUSHA:MOTO WATEKETEZA NYUMBA ZA FAMILIA 13 ZA POLISI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/arushamoto-wateketeza-nyumba-za-familia.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "ARUSHA:MOTO WATEKETEZA NYUMBA ZA FAMILIA 13 ZA POLISI"

Post a Comment

Loading...