Loading...

BENKI YA CRDB YACHANGIA MILIONI MBILI UKARABATI WA SHULE YA MSINGI GEZAULOLE, JIJINI DAR

Loading...
BENKI YA CRDB YACHANGIA MILIONI MBILI UKARABATI WA SHULE YA MSINGI GEZAULOLE, JIJINI DAR - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BENKI YA CRDB YACHANGIA MILIONI MBILI UKARABATI WA SHULE YA MSINGI GEZAULOLE, JIJINI DAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BENKI YA CRDB YACHANGIA MILIONI MBILI UKARABATI WA SHULE YA MSINGI GEZAULOLE, JIJINI DAR
link : BENKI YA CRDB YACHANGIA MILIONI MBILI UKARABATI WA SHULE YA MSINGI GEZAULOLE, JIJINI DAR

soma pia


BENKI YA CRDB YACHANGIA MILIONI MBILI UKARABATI WA SHULE YA MSINGI GEZAULOLE, JIJINI DAR

 Katibu wa Benki ya CRDB na Mkurugenzi wa Maswala ya Kampuni, John Rugambo akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya sh. milioni mbili (2,000,000) kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Shule ya Mshingi Gezaulole, Bundala Maganga ikiwa ni mchango wa benki hiyo kusaidia ukarabati wa madarasa ya shule hiyo, leo Septemba 27, 2017. Wengine pichani ni Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo, Mariam Kinande (kulia) na kushoto ni Mwenyekiti aliyemaliza muda wake wa Kamati ya Shule ya Mshingi Gezaulole,Martin Madama.
Katibu wa Benki ya CRDB na Mkurugenzi wa Maswala ya Kampuni, John Rugambo akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya sh. milioni mbili (2,000,000) kwa Wanafunzi, Kelvin James na Swaum Mohamed wa darasa la sita Shule ya Msingi Gezaulole, Kigamboni jijini Dar es salaam ikiwa ni mchango wa benki hiyo kusaidia ukarabati wa madarasa ya shule hiyo, leo Septemba 27, 2017.
 Katibu wa Benki ya CRDB na Mkurugenzi wa Maswala ya Kampuni, John Rugambo akizungumza kabla ya kabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya sh. milioni mbili (2,000,000) kwa ajili ya kusaidia ukarabati wa madarasa ya shule hiyo, leo Septemba 27, 2017. Kulia ni Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo, Mariam Kinande na kushoto ni Mwenyekiti aliyemaliza muda wake wa Kamati ya Shule ya Mshingi Gezaulole,Martin Madama.
Katibu wa Benki ya CRDB na Mkurugenzi wa Maswala ya Kampuni, John Rugambo akizungumza na baadhi ya Wanafunzi wa Shule ya Msingi Gezaulole, iliyopo Kigamboni jijini Dar es salaam.

Katibu wa Benki ya CRDB na Mkurugenzi wa Maswala ya Kampuni, John Rugambo  akiwa katika picha ya pamoja na Walimu na wanafunzi wa Shule ya Msingi Gezaulole, iliyopo Kigamboni jijini Dar es salaam.


Hivyo makala BENKI YA CRDB YACHANGIA MILIONI MBILI UKARABATI WA SHULE YA MSINGI GEZAULOLE, JIJINI DAR

yaani makala yote BENKI YA CRDB YACHANGIA MILIONI MBILI UKARABATI WA SHULE YA MSINGI GEZAULOLE, JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BENKI YA CRDB YACHANGIA MILIONI MBILI UKARABATI WA SHULE YA MSINGI GEZAULOLE, JIJINI DAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/benki-ya-crdb-yachangia-milioni-mbili.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BENKI YA CRDB YACHANGIA MILIONI MBILI UKARABATI WA SHULE YA MSINGI GEZAULOLE, JIJINI DAR"

Post a Comment

Loading...