Loading...
title : BREAKING NYUZZZZZ.....: WATUHUMIWA WAWILI KIZIMBANI KWA KESI YA UHUJUMU UCHUMI
link : BREAKING NYUZZZZZ.....: WATUHUMIWA WAWILI KIZIMBANI KWA KESI YA UHUJUMU UCHUMI
BREAKING NYUZZZZZ.....: WATUHUMIWA WAWILI KIZIMBANI KWA KESI YA UHUJUMU UCHUMI
Mthamini wa Serikali wa Madini, Edward Joseph Rweyemamu na Afisa Usafirishaji Archad Alphonce Karugendo, mapema asubuhi hii, wamepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisitu, jijini Dar es salaam kujibu shtaka moja la kuisababishia serikali ya Jamuhuri ya Muungano Tanzania hasara ya zaidi ya bilioni 2.
Washtakiwa hao wawili wamesomewa shtaka la uhujumu uchumi mbele ya Hakimu Mkazi Respicious Mwijage, ambapo hawakutakiwa kujibu kitu chochote mahakamani hapo kwa kuwa mahakama hiyo haina mamlaka ya kisikiliza kesi za namna hiyo. Wamerudishwa rumande.
Hivyo makala BREAKING NYUZZZZZ.....: WATUHUMIWA WAWILI KIZIMBANI KWA KESI YA UHUJUMU UCHUMI
yaani makala yote BREAKING NYUZZZZZ.....: WATUHUMIWA WAWILI KIZIMBANI KWA KESI YA UHUJUMU UCHUMI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BREAKING NYUZZZZZ.....: WATUHUMIWA WAWILI KIZIMBANI KWA KESI YA UHUJUMU UCHUMI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/breaking-nyuzzzzz-watuhumiwa-wawili.html
0 Response to "BREAKING NYUZZZZZ.....: WATUHUMIWA WAWILI KIZIMBANI KWA KESI YA UHUJUMU UCHUMI"
Post a Comment