Loading...
title : BURIAN ANATOLIA NSEKA, KAPUMZIKE KWA AMANI MAMA YETU
link : BURIAN ANATOLIA NSEKA, KAPUMZIKE KWA AMANI MAMA YETU
BURIAN ANATOLIA NSEKA, KAPUMZIKE KWA AMANI MAMA YETU
Mama Anatolia Nseka enzi za uhai wake |
Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Mama Anatolia Nseka kuingiza nyumbani kwake Tabata Barakuda jijini Dar es Salaam jana baada ya kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ulikokuwa umehifadhiwa baada ya kufariki dunia Tarehe 30-8-2017 katika hospitali hiyo alikokuwa amelazwa kwa matibabu. Mama Nseka mazishi yake yanatarajiwa kufanyika leo Makaburi ya Kinyerezi.
Baadhi ya ndugu zake mama Nseka wakilia baada ya mwili huo kuwasili nyumbani kwake. Hakika ni huzuni kubwa kumpoteza mpendwa wetu.
Mwili ukiingizwa ndani.
Ni huzuni kubwa.
Jeneza likiingizwa nyumbani kwake.
Picha na DottoMwaibale
Picha na DottoMwaibale
Hivyo makala BURIAN ANATOLIA NSEKA, KAPUMZIKE KWA AMANI MAMA YETU
yaani makala yote BURIAN ANATOLIA NSEKA, KAPUMZIKE KWA AMANI MAMA YETU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BURIAN ANATOLIA NSEKA, KAPUMZIKE KWA AMANI MAMA YETU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/burian-anatolia-nseka-kapumzike-kwa.html
0 Response to "BURIAN ANATOLIA NSEKA, KAPUMZIKE KWA AMANI MAMA YETU"
Post a Comment