Loading...

CHINA KUONGEZA NGUVU ZOEZI LA UPIMAJI AFYA BURE DSM

Loading...
CHINA KUONGEZA NGUVU ZOEZI LA UPIMAJI AFYA BURE DSM - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa CHINA KUONGEZA NGUVU ZOEZI LA UPIMAJI AFYA BURE DSM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : CHINA KUONGEZA NGUVU ZOEZI LA UPIMAJI AFYA BURE DSM
link : CHINA KUONGEZA NGUVU ZOEZI LA UPIMAJI AFYA BURE DSM

soma pia


CHINA KUONGEZA NGUVU ZOEZI LA UPIMAJI AFYA BURE DSM

Balozi wa Jamhuri ya watu wa China anaemaliza Muda wake nchini amemtembelea Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Paul Makonda katika Viwanja vya Mnazi Mmoja ambapo zoezi la upimaji wa Afya bure kwa wakazi wa Dar es Salaam limeingia siku ya Nne.

Mhe Balozi wa China akiwa ameambatana na Maofisa wa Ubalozi huo hapa nchini Ameshangazwa na UBUNIFU wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Paul Makonda wa kuwasaidia wananchi wengi wa Mkoa kwa WAKATI MMOJA hususani ni wenye vipato vya Chini ambao idadi kubwa hawawezi kumudu Gharama za matibabu nje ya mifumo rasmi iliyowekwa na Serikali mfano wa Bima ya Afya.

Kutokana na Mkusanyiko huo wa Maelfu ya wananchi Mhe Balozi wa China amesema Serikali ya Jamhuri ya watu wa China imeamua KUUNGA mkono jitihada za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Paul Makonda na kuanzia sasa na kuendelea serikali ya ya Jamhuri ya watu wa China itaungana na Serikali ya Mkoa wa Dar es Salaam katika kusaidia zoezi upimaji Afya BURE kwa kufanya yafuatayo :-
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Paul Makonda akiongeza na Balozi wa China Nchini Tanzania Dr.Lu Youqing na ujumbe wake katika Viwanja vya Mnazi Mmoja ambapo zoezi la upimaji wa Afya bure kwa wakazi wa Dar es Salaam limeingia siku ya Nne. 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Paul Makonda akizunguza na wananchi waliojitokeza katika viwanja vya Mnazi Mmooja kwa ajili ya kupima afya.





Hivyo makala CHINA KUONGEZA NGUVU ZOEZI LA UPIMAJI AFYA BURE DSM

yaani makala yote CHINA KUONGEZA NGUVU ZOEZI LA UPIMAJI AFYA BURE DSM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala CHINA KUONGEZA NGUVU ZOEZI LA UPIMAJI AFYA BURE DSM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/china-kuongeza-nguvu-zoezi-la-upimaji.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "CHINA KUONGEZA NGUVU ZOEZI LA UPIMAJI AFYA BURE DSM"

Post a Comment

Loading...