Loading...

DAKTARI BUGANDO AZUNGUMZIA HALI YA MC PILIPILI BAADA YA AJALI

Loading...
DAKTARI BUGANDO AZUNGUMZIA HALI YA MC PILIPILI BAADA YA AJALI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DAKTARI BUGANDO AZUNGUMZIA HALI YA MC PILIPILI BAADA YA AJALI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DAKTARI BUGANDO AZUNGUMZIA HALI YA MC PILIPILI BAADA YA AJALI
link : DAKTARI BUGANDO AZUNGUMZIA HALI YA MC PILIPILI BAADA YA AJALI

soma pia


DAKTARI BUGANDO AZUNGUMZIA HALI YA MC PILIPILI BAADA YA AJALI

Mchekeshaji maarufu nchini Tanzania Emmanuel Mathias (Mc Pilipili) amelazwa katika hospitali ya Rufaa ya Bugando Jijini Mwanza kwa ajili ya matibabu baada ya kupata ajali mbaya ya gari mkoani Shinyanga. [embed]https://youtu.be/wc_1EtiXXc0[/embed] Kamanda wa polisi mkoani Shinyanga, Simon Haule amesema ajali hiyo ilitokea jana majira ya saa kumi alasiri katika Kijiji cha Mwanishoni, Kata ya Bubiki wilayani Kishapu katika barabara ya Mwanza-Shinyanga. Amesema ajali hiyo ilihusisha gari binafsi lenye nambari T.362 BAE Toyota Prado iliyokuwa na abiria watatu ikiendeshwa na dereva Said Hassan (28) mkazi wa Dar es salaam, ikitokea Mwanza kwenda Dar es salaam. Mchekeshaji na Mshereheshaji Mc Pilipili
Kamanda Haule amesema chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi na kwamba majeruhi wanaendelea kupatiwa matibabu. Afisa Uhusiano hospitali ya Rufaa Bugando, Lucy Joseph amekiri kupokelewa Mc Pilipili hospitalini hapo kwa ajili ya matibabu na kwamba hali yake inaendelea kuimarika. Dr.Hans Klaudi kutoka idara ya upasuaji hospitali ya Kanda Bugando Jijini Mwanza ambaye ni mmoja wa madaktari wanaomtibu Mc Pilipili, amezungumza na BMG na kueleza hali yake. Inaelezwa kwamba ajali hiyo ilitokea wakati dereva akijaribu kumkwepa mwendesha baiskeli na hivyo kupinduka


Hivyo makala DAKTARI BUGANDO AZUNGUMZIA HALI YA MC PILIPILI BAADA YA AJALI

yaani makala yote DAKTARI BUGANDO AZUNGUMZIA HALI YA MC PILIPILI BAADA YA AJALI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DAKTARI BUGANDO AZUNGUMZIA HALI YA MC PILIPILI BAADA YA AJALI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/daktari-bugando-azungumzia-hali-ya-mc.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DAKTARI BUGANDO AZUNGUMZIA HALI YA MC PILIPILI BAADA YA AJALI"

Post a Comment

Loading...