Loading...

DJ CHOKA KUTOKA NA NGOMA MPYA

Loading...
DJ CHOKA KUTOKA NA NGOMA MPYA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DJ CHOKA KUTOKA NA NGOMA MPYA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DJ CHOKA KUTOKA NA NGOMA MPYA
link : DJ CHOKA KUTOKA NA NGOMA MPYA

soma pia


DJ CHOKA KUTOKA NA NGOMA MPYA

Hugoline Martin Mtambachuo jina maarufu kama DJ CHOKA anatarajia kuachia wimbo wake mpya alioupa jina la BILA SABABU ukiwa umefanyika pale Mbagala kwa Prod Dupy. DJ Choka amesema ameamua kuachia wimbo huo tarehe hiyo kwa sababu ni tarehe ya kumbukumbu yake ya kuzaliwa.

Wimbo huu utakuwa wimbo wa kwanza kuutoa kwa mwaka huu 2017 toka ameinuka kutoka kitandani kwa kujiuguza ugonywa wa KIFUA KIKUU (TB) kwa takribani miezi 6 hadi 8. Wimbo wa mwisho kuuachia ulikuwa unaitwa NITALALA UZEENI ambapo aliuachia mwaka 2014 uliokuwa umewashirikisha wasanii kama COUNTRY BOY, YOUNG LUNYA, B GWAY na CLIMAX BIBO chini ya Prod Gard kutoka A.M Rec.

Wasanii walioshirikishwa kwenye wimbo huu mpya amesema ni mapema kuwataja kwa sasa lakini wimbo ukitoka watajulikana, anaomba mashabiki kuupokea ujio huu mwingine mpya kutoka kwake pamoja na nyingine zitakazo kuja.


Hivyo makala DJ CHOKA KUTOKA NA NGOMA MPYA

yaani makala yote DJ CHOKA KUTOKA NA NGOMA MPYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DJ CHOKA KUTOKA NA NGOMA MPYA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/dj-choka-kutoka-na-ngoma-mpya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DJ CHOKA KUTOKA NA NGOMA MPYA"

Post a Comment

Loading...