Loading...
title : DKT KIGWANGALLA KUFUNGUA KONGAMANO LA CCCB
link : DKT KIGWANGALLA KUFUNGUA KONGAMANO LA CCCB
DKT KIGWANGALLA KUFUNGUA KONGAMANO LA CCCB
Mratibu wa Kongamano la CCCB,Shabani Yusuph (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu ufunguzi wa kongamano hilo litakalo fanyika Septemba 19-20 mwaka huu katika hoteli ya Ramada Mbezi Beach jijini Dar es Salaam,a,ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa ni Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk Hamis Kigwangalla.kushoto ni Mkufunzi wa Vijana,Hamza Jabir
Mkufunzi wa Vijana,Hamza Jabir akifafanua jambo kwenye mkutano huo uliofanyika jijini Dar es Salaam.
Hivyo makala DKT KIGWANGALLA KUFUNGUA KONGAMANO LA CCCB
yaani makala yote DKT KIGWANGALLA KUFUNGUA KONGAMANO LA CCCB Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DKT KIGWANGALLA KUFUNGUA KONGAMANO LA CCCB mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/dkt-kigwangalla-kufungua-kongamano-la.html
0 Response to "DKT KIGWANGALLA KUFUNGUA KONGAMANO LA CCCB"
Post a Comment