Loading...
title : EFM NJE NDANI , SINGELI MICHANO ZAPAGAWISHA WAKAZI WA TABATA
link : EFM NJE NDANI , SINGELI MICHANO ZAPAGAWISHA WAKAZI WA TABATA
EFM NJE NDANI , SINGELI MICHANO ZAPAGAWISHA WAKAZI WA TABATA
Msanii Chipukizi wa Muziki wa Singeli nchini akionyesha umahiri wake wa kuimba katika jukwaa la Singeli michano linaloendeshwa na programu ya Mziki mnene na Nje ndani ya Efm Radio
Mashabiki wa Muziki wa Singeli wakiwa wanashangilia ndani ya Uwanja wa Toto Tundu Tabata Jijini Dar es Salaam leo.
Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva Harmorapa akiongoza kundi la Efm Joging Tabata katika mazoezi ya mbio za pole yaliyofanyika asubuhi ya leo jijini Dar es Salaam
Baadhi ya Wanachama wa Efm Jogging wakiwa katika mazoezi ya mbio za pole Tabata jijini Dar es Salaam leo
Mkurugenzi wa Radio ya Efm na Tv E Sebo akiwania mpira mbele ya beki wa Tabata Veterans katika mchezo wa kirafiki uliochezwa katika uwanja wa Tabata Sigara Jijini Dar es Salaam
Benchi la Ufundi la timu ya Soka ya Efm na Tv E likiongozwa na Sudi Mkumba
Wacheaji wa Efm wakifanya mazoezi kabla ya mchezo huo kuanza mapema leo
Hivyo makala EFM NJE NDANI , SINGELI MICHANO ZAPAGAWISHA WAKAZI WA TABATA
yaani makala yote EFM NJE NDANI , SINGELI MICHANO ZAPAGAWISHA WAKAZI WA TABATA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala EFM NJE NDANI , SINGELI MICHANO ZAPAGAWISHA WAKAZI WA TABATA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/efm-nje-ndani-singeli-michano.html
0 Response to "EFM NJE NDANI , SINGELI MICHANO ZAPAGAWISHA WAKAZI WA TABATA"
Post a Comment