Loading...

GWAJIMA KULIAMSHA DUDE KUHUSU LISU JUMAPILI HII

Loading...
GWAJIMA KULIAMSHA DUDE KUHUSU LISU JUMAPILI HII - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa GWAJIMA KULIAMSHA DUDE KUHUSU LISU JUMAPILI HII, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : GWAJIMA KULIAMSHA DUDE KUHUSU LISU JUMAPILI HII
link : GWAJIMA KULIAMSHA DUDE KUHUSU LISU JUMAPILI HII

soma pia


GWAJIMA KULIAMSHA DUDE KUHUSU LISU JUMAPILI HII


Mchungaji Mchungaji Josephat Gwajima  wa kanisa la Ufufuo na Uzima amefunguka na kusema kuwa siku ya Jumapili atafanya maombezi maalum kwa afya ya Mbunge Tundu Lissu ambaye juzi alipigwa risasi na watu wasiojulikana akiwa Dodoma nyumbani kwake.

Mchungaji Gwajima amesema kuwa atatumia misa hiyo kulaani vikali kitendo cha kinyama alichofanyiwa Tundu Lissu na watu hao wasiojulikana ambao waliweza kupiga gari lake zaidi ya risasi 30 huku risasi tano ndizo ziliweza kumjeruhi Mbunge huyo.

"Jumapili hii  Septemba 10, 2017 nitaongoza maombi maalumu ya kuombea Afya ya Mhe. Tundu Lissu na kulaani Vikali kitendo cha Kikatili na Kinyama alichofanyiwa. Maombi haya yatafanyika katika Kanisa la Ufufuo na Uzima, Ubungo Dar es Salaam tunawakaribisha wote watakaopenda kuungana nasi katika maombi haya" aliandika mchungaji Gwajima kupitia ukurasa wake wa facebook

Mchungaji Gwajima amekuwa akilaani mambo mbalimbali ambayo huwa yanatokea katika nchi kupitia misa mbalimbali ambazo huwa anafanyia katika kanisa lake hilo ikiwa pamoja na kuombea taifa amani na usalama. 



Hivyo makala GWAJIMA KULIAMSHA DUDE KUHUSU LISU JUMAPILI HII

yaani makala yote GWAJIMA KULIAMSHA DUDE KUHUSU LISU JUMAPILI HII Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala GWAJIMA KULIAMSHA DUDE KUHUSU LISU JUMAPILI HII mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/gwajima-kuliamsha-dude-kuhusu-lisu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "GWAJIMA KULIAMSHA DUDE KUHUSU LISU JUMAPILI HII"

Post a Comment

Loading...