Loading...
title : KAMPUNI YA ALAF YATOA MABATI 500 KWA SHULE YA MSINGI HUZI, DODOMA
link : KAMPUNI YA ALAF YATOA MABATI 500 KWA SHULE YA MSINGI HUZI, DODOMA
KAMPUNI YA ALAF YATOA MABATI 500 KWA SHULE YA MSINGI HUZI, DODOMA
Meneja wa Kampuni ya Mabati ya ALAF tawi la Dodoma ambaye pia ni Diwani kata ya Huzi na Mjumbe wa Kamati ya ujenzi wa Shule ya Huzi, Mwakasege Grayson (kushoto), akimkabidhi Mbunge wa Jimbo la Mtera, Livingstone Lusinde sehemu ya Msaada wa mabati 500 kwa ajili ya kuezeka kwenye majengo ya shule hiyo baada ya kuezuliwa na upepo. Lisinde ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo ya Ujenzi wajumbe wa kamati ya ujenzi shule ya msingi Huzi pamoja na walimu wakikagua majengo ya shule.
Mwenyekiti wa Kamati ya Ujenzi wa Shule ya msingi Huzi, Mbunge wa Jimbo la Mtera, Livingstone Lusinde akiwa na ujumbe wake pamoja na walimu wakikagua eneo la majengo ya shule hiyo lililoezuliwa mapaa na upepo hivi karibuni.
Muenekano wa Majengo ya shule ya Msingi Huzi yakiwa hayana mapaa kutokana baada ya kuezuliwa na upepo.
Kibao cha shule ya msingi Huzi.
Hivyo makala KAMPUNI YA ALAF YATOA MABATI 500 KWA SHULE YA MSINGI HUZI, DODOMA
yaani makala yote KAMPUNI YA ALAF YATOA MABATI 500 KWA SHULE YA MSINGI HUZI, DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KAMPUNI YA ALAF YATOA MABATI 500 KWA SHULE YA MSINGI HUZI, DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/kampuni-ya-alaf-yatoa-mabati-500-kwa.html
0 Response to "KAMPUNI YA ALAF YATOA MABATI 500 KWA SHULE YA MSINGI HUZI, DODOMA"
Post a Comment