Loading...

Kanisa la Askofu Gwajima lakumbwa na haya....

Loading...
Kanisa la Askofu Gwajima lakumbwa na haya.... - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kanisa la Askofu Gwajima lakumbwa na haya...., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kanisa la Askofu Gwajima lakumbwa na haya....
link : Kanisa la Askofu Gwajima lakumbwa na haya....

soma pia


Kanisa la Askofu Gwajima lakumbwa na haya....

KANISA la Ufufuo na Uzima lililopo Mbezi Inn linalomilikiwa na Askofu Josephat Gwajima limebomolewa. Nyumba hiyo ya ibada ambayo pia ilikuwa ikitumika kama kituo cha maombezi imebomolewa na Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads).

Imeelezwa kanisa hilo limejengwa ndani ya hifadhi ya Barabara ya Morogoro ya mita 121.5. Kwa mujibu wa waumini wa kanisa hilo, pia limekuwa likitumika  kama kituo cha kufundishia wachungaji limebomolewa jana jioni hali iliyosababisha waumini wa Kanisa hilo kusalia nje. Vitu vikiwa nje na baadhi ya waumini wakiendelea  na maombi nje.


Hivyo makala Kanisa la Askofu Gwajima lakumbwa na haya....

yaani makala yote Kanisa la Askofu Gwajima lakumbwa na haya.... Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kanisa la Askofu Gwajima lakumbwa na haya.... mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/kanisa-la-askofu-gwajima-lakumbwa-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Kanisa la Askofu Gwajima lakumbwa na haya...."

Post a Comment

Loading...