Loading...
title : KESI YA VIONGOZI WA JUU WA SIMBA SEPTEMBA 27 MWAKA HUU.
link : KESI YA VIONGOZI WA JUU WA SIMBA SEPTEMBA 27 MWAKA HUU.
KESI YA VIONGOZI WA JUU WA SIMBA SEPTEMBA 27 MWAKA HUU.
mwambawahabari
Kesi inayowakabili viongozi wa juu wa klabu ya Simba, Evans Aveva na Geofrey Nyange 'Kaburu' imehairishwa hadi Septemba 27 mwaka huu, huku upelelezi wao ukiwa umekamilika na jalada lao kupelekwa kwa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP).
Hayo yamebainishwa leo na Wakili wa serikali, Nassoro Katuga na kumueleza Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Kisutu Jijini Dar es Salaam, Victoria Nongwa kuwa upelelezi wa awali wa kesi hiyo umekamilika na jalada limepelekwa kwa DPP ili aweze kulipitia na kuona kama umekamilika au laa.
Mara baada ya kuelezwa hayo, Hakimu Nongwa ameamuru kuahirishwa kwa kesi hiyo na kusikilizwa tena hadi Septemba 27 mwaka huu.
Viongozi hao walikamatwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) miezi michache iliyopita wakikabiliwa na mashtaka matano ambayo mawili kati ya hayo ni ya kutakatisha fedha
Hivyo makala KESI YA VIONGOZI WA JUU WA SIMBA SEPTEMBA 27 MWAKA HUU.
yaani makala yote KESI YA VIONGOZI WA JUU WA SIMBA SEPTEMBA 27 MWAKA HUU. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KESI YA VIONGOZI WA JUU WA SIMBA SEPTEMBA 27 MWAKA HUU. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/kesi-ya-viongozi-wa-juu-wa-simba.html
0 Response to "KESI YA VIONGOZI WA JUU WA SIMBA SEPTEMBA 27 MWAKA HUU."
Post a Comment