Loading...

LWANDAMINA AMPA CHIRWA MAJUKUMU YA TÀMBWE

Loading...
LWANDAMINA AMPA CHIRWA MAJUKUMU YA TÀMBWE - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa LWANDAMINA AMPA CHIRWA MAJUKUMU YA TÀMBWE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : LWANDAMINA AMPA CHIRWA MAJUKUMU YA TÀMBWE
link : LWANDAMINA AMPA CHIRWA MAJUKUMU YA TÀMBWE

soma pia


LWANDAMINA AMPA CHIRWA MAJUKUMU YA TÀMBWE

Kocha Mkuu wa Yanga,  George Lwandamina, amemkabidhi Obrey Chirwa majukumu ya Amissi Tambwe ambaye kwa sasa ni majeruhi. 

Chirwa amepewa majukumu hayo kutokana na Tambwe kuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu akiuguza majeraha ya goti. 

Kutokana na kuuguza majeraha hayo, ilisababisha Tambwe akose mechi tano za kimashindano ambazo tayari Yanga imecheza ikiwa moja ya Ngao ya Jamii na nne Ligi Kuu Bara. 

“Kukosekana kwa Tambwe hakuna tatizo lolote lile kwani Chirwa yupo, ninachokifanya ni kwamba kwenye kikosi changu natengeneza ile hali kwamba akikosekana mmoja basi anakuwepo mwingine wa kuziba pengo lake,” alisema Lwandamina.


Hivyo makala LWANDAMINA AMPA CHIRWA MAJUKUMU YA TÀMBWE

yaani makala yote LWANDAMINA AMPA CHIRWA MAJUKUMU YA TÀMBWE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala LWANDAMINA AMPA CHIRWA MAJUKUMU YA TÀMBWE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/lwandamina-ampa-chirwa-majukumu-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "LWANDAMINA AMPA CHIRWA MAJUKUMU YA TÀMBWE"

Post a Comment

Loading...