Loading...

MAHAFALI YA 44 YA DARASA LA SABA SHULE YA MSINGI YA WATOTO WENYE ULEMAVU YA JESHI LA WAOKOVU JIJINI DAR ES SALAM LEO.

Loading...
MAHAFALI YA 44 YA DARASA LA SABA SHULE YA MSINGI YA WATOTO WENYE ULEMAVU YA JESHI LA WAOKOVU JIJINI DAR ES SALAM LEO. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAHAFALI YA 44 YA DARASA LA SABA SHULE YA MSINGI YA WATOTO WENYE ULEMAVU YA JESHI LA WAOKOVU JIJINI DAR ES SALAM LEO., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAHAFALI YA 44 YA DARASA LA SABA SHULE YA MSINGI YA WATOTO WENYE ULEMAVU YA JESHI LA WAOKOVU JIJINI DAR ES SALAM LEO.
link : MAHAFALI YA 44 YA DARASA LA SABA SHULE YA MSINGI YA WATOTO WENYE ULEMAVU YA JESHI LA WAOKOVU JIJINI DAR ES SALAM LEO.

soma pia


MAHAFALI YA 44 YA DARASA LA SABA SHULE YA MSINGI YA WATOTO WENYE ULEMAVU YA JESHI LA WAOKOVU JIJINI DAR ES SALAM LEO.

VIFIJO na ndelemo vilivyochangamana na majozi kwa wanafunzi wanaohitimu masomo ya shule ya msingi 2017 katika shule ya watoto wenye ulemavu ya Jeshi la Wokovu jijini Dar es Salaam leo.

Furaha iliyoje kwa watoto waliohitimu masomo ya msingi na majozi kwa waliobakia, ikiwa risala ya wahitimu imetoa changamoto mbalimbali kwa watoto wenye ulemavu ikiwemo vifaa visaidizi kwa watoto hao pamoja na mafuta ya kupaka kwa watoto wenye ulemvu wa ngozi(Albino).

Akizungumza katika mahafali hayo jijini Dar es Salaam leo, Mwalimu wa Michezo katika shule ya Msingi Jeshi la Wokovu, Emmanuel Ibrahim ameiomba serikali kuwaruhusu watoto hao wenye ulemavu na wanavipaji mbalimbali washiriki mashindano ya Kitaifa pamoja na ya kimataifa kama watoto wengine.

Pia wameomba kuongezewa Madaktari watakaotoa huduma ya afya kwa watoto hao wenye ulemavu ilikukidhi mahitaji ya watoto wenyeulemavu shuleni hapo.
Mkurugenzi wa shule ya msingi ya Jeshi la wokovu iliyopo Tameke jijini Dar es Salaam, Luteni Thomas Sinana akisoma risala ya shule hiyo kwa mgeni rasmi na kutaja changamoto mbalimbali zinazoikabiri shule hiyo inayohudumia watoto walemavu katika hafla ya mahafali ya wanafunzi wanao hitimu masomo yao ya shule ya msingi jijini Dar es Salaam leo.
Watoto wenye ulemavu wakitoa burudani mbele ya Mgeni rasmi pamoja na wazazi wa watoto hao waliohudhuria katika mahafali ya wanafunzi wa Darsa la saba 2017 jijini Dar es Salaam leo.
wahitimu wa shule ya msingi Jeshi la Wokovu na Watoto wenye ulemavu tofauti tofauti wakitumbuiza ngojera mbele ya mgeni rasmi zilizokuwa na mahusia mazuri kwa wazazi wenye watoto wenye ulemavu pamoja na kuwashuru walezi na walimu wao kwa kuwalea tangu walipokuwa Darsa la kwanza mapaka sasa wanahitimu masomo yao ya shule ya msingi.
 Wahitimu wa Shule ya Msingi Jeshi la wokovu wakimsiliziza mgeni rasmi jijini Dar es Salaam leo wakati wa mahafali ya kuwaaga.
Picha zote na Avila Kakingo, Globu ya Jamii.


Hivyo makala MAHAFALI YA 44 YA DARASA LA SABA SHULE YA MSINGI YA WATOTO WENYE ULEMAVU YA JESHI LA WAOKOVU JIJINI DAR ES SALAM LEO.

yaani makala yote MAHAFALI YA 44 YA DARASA LA SABA SHULE YA MSINGI YA WATOTO WENYE ULEMAVU YA JESHI LA WAOKOVU JIJINI DAR ES SALAM LEO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAHAFALI YA 44 YA DARASA LA SABA SHULE YA MSINGI YA WATOTO WENYE ULEMAVU YA JESHI LA WAOKOVU JIJINI DAR ES SALAM LEO. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/mahafali-ya-44-ya-darasa-la-saba-shule.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAHAFALI YA 44 YA DARASA LA SABA SHULE YA MSINGI YA WATOTO WENYE ULEMAVU YA JESHI LA WAOKOVU JIJINI DAR ES SALAM LEO."

Post a Comment

Loading...