Loading...
title : MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA GAS JIJINI DAR
link : MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA GAS JIJINI DAR
MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA GAS JIJINI DAR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa ufunguzi wa mkutano wa siku mbili wa wadau wa Mafuta na Gesi ambapo wadau wa Gesi na Mafuta watapata nafasi ya kujadili Fursa zilizopo. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Dkt. Medard Kalemani wakati wa mkutano wa siku mbili wa wadau wa Mafuta na Gesi uliofanyika kwenye hotel ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam.
Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA GAS JIJINI DAR
yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA GAS JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA GAS JIJINI DAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/makamu-wa-rais-afungua-mkutano-wa-wadau.html
0 Response to "MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA GAS JIJINI DAR"
Post a Comment