Loading...

MAKAMU WA RAIS AZINDUA PROGRAMU YA MABORESHO YA USIMAMIZI WA FEDHA ZA UMMA

Loading...
MAKAMU WA RAIS AZINDUA PROGRAMU YA MABORESHO YA USIMAMIZI WA FEDHA ZA UMMA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKAMU WA RAIS AZINDUA PROGRAMU YA MABORESHO YA USIMAMIZI WA FEDHA ZA UMMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKAMU WA RAIS AZINDUA PROGRAMU YA MABORESHO YA USIMAMIZI WA FEDHA ZA UMMA
link : MAKAMU WA RAIS AZINDUA PROGRAMU YA MABORESHO YA USIMAMIZI WA FEDHA ZA UMMA

soma pia


MAKAMU WA RAIS AZINDUA PROGRAMU YA MABORESHO YA USIMAMIZI WA FEDHA ZA UMMA

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua  Programu ya Maboresho ya Usimamizi wa Fedha za Umma Awamu ya Tano 2017/18 - 2021/22 kulia ni Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Philip Mpango ambapo pia ilishuhudiwa na Spika wa Bunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai, Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe.Zubeir Ali Maulid, Naibu Waziri Ofisi ya Rais,TAMISEMI Mhe. Selemani Jaffo, Naibu Waziri Fedha na Mipango Dkt. Ashatu Kijaji na Wadau wa Maendeleo kwenye Ukumbi wa Hazina mjini Dodoma. 


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati uzinduzi wa Programu ya Maboresho ya Usimamizi wa Fedha za Umma Awamu ya Tano 2017/18 - 2021/22 katika Ukumbi wa Hazina mjini Dodoma. 
Sehemu ya Waliohudhuria wakipiga makofi mara baada ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Samia Suluhu Hassan kuzindua Programu ya Maboresho ya Usimamizi wa Fedha za Umma Awamu ya Tano 2017/18 - 2021/22 katika Ukumbi wa Hazina mjini Dodoma. 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Philip Mpango wakati akiwasili kwenye uzinduzi wa Programu ya Maboresho ya Usimamizi wa Fedha za Umma Awamu ya Tano 2017/18 - 2021/22 katika Ukumbi wa Hazina mjini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)


Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AZINDUA PROGRAMU YA MABORESHO YA USIMAMIZI WA FEDHA ZA UMMA

yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AZINDUA PROGRAMU YA MABORESHO YA USIMAMIZI WA FEDHA ZA UMMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AZINDUA PROGRAMU YA MABORESHO YA USIMAMIZI WA FEDHA ZA UMMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/makamu-wa-rais-azindua-programu-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAKAMU WA RAIS AZINDUA PROGRAMU YA MABORESHO YA USIMAMIZI WA FEDHA ZA UMMA"

Post a Comment

Loading...