Loading...
title : MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ASHIRIKI UZINDUZI WA TAMASHA LA WASANII WANAWAKE KUSINI UNGUJA
link : MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ASHIRIKI UZINDUZI WA TAMASHA LA WASANII WANAWAKE KUSINI UNGUJA
MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ASHIRIKI UZINDUZI WA TAMASHA LA WASANII WANAWAKE KUSINI UNGUJA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. SAMIA SULUHU HASSAN akiangalia kofia iliofumwa kwa mikono wakati wa uzinduzi wa Tamasha la Wasanii Wanawake wa mkoa wa Kusini Unguja uliofanyika jana kwenye ukumbi wa Coco Blue Jambiani.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa ufunguzi wa Tamasha la Wasanii Wanawake wa Mkoa wa Kusini Unguja liliofanyika jana kwenye ukumbi wa Coco Blue, Jambiani.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa ufunguzi wa Tamasha la Wasanii Wanawake wa Mkoa wa Kusini Unguja liliofanyika kwenye ukumbi wa Coco Blue, Jambiani.
Hivyo makala MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ASHIRIKI UZINDUZI WA TAMASHA LA WASANII WANAWAKE KUSINI UNGUJA
yaani makala yote MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ASHIRIKI UZINDUZI WA TAMASHA LA WASANII WANAWAKE KUSINI UNGUJA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ASHIRIKI UZINDUZI WA TAMASHA LA WASANII WANAWAKE KUSINI UNGUJA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/makamu-wa-rais-samia-suluhu-hassan.html
0 Response to "MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ASHIRIKI UZINDUZI WA TAMASHA LA WASANII WANAWAKE KUSINI UNGUJA"
Post a Comment