Loading...

Marekebisho ya sheria katika sekta ya madini hayatambuliki na kufanya sekta hiyo kukosa mabadiliko –CAG Ripoti

Loading...
Marekebisho ya sheria katika sekta ya madini hayatambuliki na kufanya sekta hiyo kukosa mabadiliko –CAG Ripoti - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Marekebisho ya sheria katika sekta ya madini hayatambuliki na kufanya sekta hiyo kukosa mabadiliko –CAG Ripoti, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Marekebisho ya sheria katika sekta ya madini hayatambuliki na kufanya sekta hiyo kukosa mabadiliko –CAG Ripoti
link : Marekebisho ya sheria katika sekta ya madini hayatambuliki na kufanya sekta hiyo kukosa mabadiliko –CAG Ripoti

soma pia


Marekebisho ya sheria katika sekta ya madini hayatambuliki na kufanya sekta hiyo kukosa mabadiliko –CAG Ripoti

Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii

OFISI ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali(CAG) imebainisha kuwa kipengele cha kutotambua marekebisho ya sheria kilichomo kwenye mikataba ya madini kimekuwa kikichangia kutoonekana kwa mabadiliko katika sekta hiyo.

Hayo yamebainishwa na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu wa Nje wa ofisi ya CAG, Johannes Kisiri wakati wa kutoa mada kuhusu ukaguzi wa hesabu za mashirika ya umma katika sekta ya gesi kwenye warsha ya asasi za kiraia na waandishi wa habari, amesema mikataba mingi ya madini na gesi kuna kipengele ambacho sio muafaka kwa faida ya taifa ambacho kinasema ‘ yatakayobadilika kwenye sheria hayataathiri makubaliano ya awali,” amesema

Kisiri amesema ukaguzi umegundua kuwa Kampuni ya Tanzanite One Tanzania Limited(TML) iliyoingia mkataba wa kuchimba madini ya tanzanite na Shirika la Madini la Taifa(Stamico) imekuwa ikiizuia madini hayo kampuni ya Sky Associates Vila ya bila kuishirikisha stamico.

Amesema ushauri wa CAG kuhusiana na mradi kuazalisha umeme katika Korongo la Stiegler ambao ulikuwa unasimamiwa na Mamlaka ya Uendelezaji Bonde la Rufiji (RUBADA) umefanyiwa kazi kutokana ripoti ya CAG ilianisha kuwa RUBADA haikuwa na uwezo wa kifedha wa kuenesha mradi huo na kushauri kufanywa na taasisi za umma zenye uwezo kama tanesco,” amesema

Mradi huo ambao ungekuwa na manufaa sana kwa gharama za dola za marekani bilioni 2.4 (sawa na Sh trilioni 6) na kutakiwa kuzalisha megawati 2,100 ambapo Bunge limefuta sheria iliyoanzisha RUBADA kupisha taasisi nyingine kuendesha mradi huo.

Mradi huu ulipangwa kutekelezwa katika vipindi vya awamu tatu, ambapo awamu ya kwaza ungezalisha megawati 300, ya pili 600 na awamu ya mwisho ni megawati 300 ambayo ingekamilika mwaka 2028.

Kisiri amesema mikataba inailazimisha tanesco kununua umme kwa Sh 544.65 kwa uniti moja kutoka kampuni binafsi na kuuza kwa Sh 279.35 kwa uniti
 Mkurugenzi Msaidizi wa Ufatiliaji na Tathimini wa CAG, Wendy Masoyi akizungumza katika ufunguzi wa warsha warsha ya Nne ya Asasi zisizo za Kiserikali na waandishi wa habari katika kupata toleo maalum kwa mwaka wa fedha ulioshia Juni 30, 2016 iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
 Mkuu wa kitengo cha mawasiliano serikalini wa Ofisi ya CAG, Sarah Reuben akineonesha muundo wa kitabu cha machapisho ya ukaguzi wa CAG kwa mwaka ulioshia Juni 30 ,2016 kwa wana warsha hawapo pichani iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
 Mkaguzi wa Serikali za Mitaa wa CAG Temeke, Angel Moshi akitoa mada kwa wana warsha hawapo pichani juu ya miradi mbalimbali iliyoangaliwa katika ukaguzi wa CAG kwa mwaka wa fedha ulioshia Juni 30 , ilifanyika jijini Dar es Salaam.
 Sehemu ya wadau wakifatilia taarifa katika warsha ya toleo maalum kwa mwaka wa fedha ulioshia Juni 30 ,2016 iliyohusisha Mikoa ya Mtwara, Lindi, Pwani pamoja na Dar es Salaam.
Picha pamoja wadau katika warsha ya toleo maalum kwa mwaka wa fedha ulioshia Juni 30 ,2016 iliyohusisha Mikoa ya Mtwara, Lindi, Pwani pamoja na Dar es Salaam.


Hivyo makala Marekebisho ya sheria katika sekta ya madini hayatambuliki na kufanya sekta hiyo kukosa mabadiliko –CAG Ripoti

yaani makala yote Marekebisho ya sheria katika sekta ya madini hayatambuliki na kufanya sekta hiyo kukosa mabadiliko –CAG Ripoti Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Marekebisho ya sheria katika sekta ya madini hayatambuliki na kufanya sekta hiyo kukosa mabadiliko –CAG Ripoti mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/marekebisho-ya-sheria-katika-sekta-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Marekebisho ya sheria katika sekta ya madini hayatambuliki na kufanya sekta hiyo kukosa mabadiliko –CAG Ripoti"

Post a Comment

Loading...